Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😂😂😩😩

Na huu ndio uzuri wa maisha, My camera roll ina moments nyingi sana ambazo sijazipost popote, Infact najutia siku niliyoanzaga kupost 😂😂😂 Sijajua ni kiherehere gani kilinituma.

Maisha yalikuwa mazuri sana chini ya maji. Watu hawajui uko wapi unafanya nini unaishi zako unaenjoy kimya kimya.
Nina pics nyingi lakini sipost kokote, huwa ni kwaajili yangu tu..!!

Nikipost sichukui muda nafuta, huwa najiuliza maswali mengi.

Napost ili iweje? Nimepotea? Nimekufa?
Nataka kumuonyesha nani? Ili iweje? Basi nikishajiuliza maswali hayo kama nilipost nadelete nalala..!!

Rafiki zangu pic zangu kuzipata mpaka wanivizie wanipige bila mimi kujua..!! 😹😹

Kuna siku niliweka video WhatsApp naimba, nikaikuta kwenye status nyingine ya mtu ambaye sina uhusiano naye kaniwekea na 🥰 aiseee nilikiwasha nikamwambia futa haraka..!! 😹😹😹

Naona kabisa anatengeneza movie la mapenzi na kutaka nionekane tunadate kitu ambacho si kweli..!!
 
Ni basi tu tumeletewa social media sio kwaajili ya kujipost sisi sio celebrity 😂 heri wanaofanyia biashara.

Rafiki zangu pic zangu kuzipata mpaka wanivizie wanipige bila mimi kujua..!! 😹😹

Kuna siku niliweka video WhatsApp naimba, nikaikuta kwenye status nyingine ya mtu ambaye sina uhusiano naye kaniwekea na 🥰 aiseee nilikiwasha nikamwambia futa haraka..!! 😹😹😹

Naona kabisa anatengeneza movie la mapenzi na kutaka nionekane tunadate kitu ambacho si kweli..!!
Wa cuba huyo 😀
 
1000053367.jpg
 
Back
Top Bottom