Weeeπ kuna pipo zinapita kimyakimya
Haya weka vitu sasa mate na mi nifaidi sasa hivi sitoki..!! πΉUmeme sana ndio maana mlikuwa mnashindanishwa na watoto wa mapekupeku π
Hivi unajua mambo club nasikia ilikuwa ya sabasita baba ake Tunda? ππYani mi na kuzurura humu, Nilikuwa kwenye uzi wa mtibeli na badge yake ya platinum huko anatamba..!!
Aiseee mafisa, chamwino, mji mpya, sabasaba area six vibandani πΉπΉπΉ
Nilikuwa maeneo hayo juzi kati nilicheka sana..!!
Hujamiss mambo club na bwalo πΉ
Leo nataka nikubless tu laaziz au sio? πΉπΉNaandika nafuta naandika nafuta.
CCopy tunatoa lini kwani
Sawa
hapo nimepita tena kwa leo basiChica kama wewe unajikubali, huna haja ya kuogopa pipo! Tuonyeshe bwana.
Wee kweli? πΉπΉHivi unajua mambo club nasikia ilikuwa ya sabasita baba ake Tunda? ππ
nothin to see π₯²
Inshallah siku ingine ntakuona babes β€οΈ Kila nikiingia napishana nayo π
Umemeeeeeeeeeeee πππHii niliweka kama wiki 2 zilizopita, huwa nachagua zile ambazo hazipo kwa other social media .
View attachment 3674697
Dadaangu mcute β€οΈβ€οΈHii niliweka kama wiki 2 zilizopita, huwa nachagua zile ambazo hazipo kwa other social media .
View attachment 3674697
Gudubaiinothin to see π₯²
Polee π sawa sitoacha kukutagInshallah siku ingine ntakuona babes β€οΈ Kila nikiingia napishana nayo π
Unafanana na rafiki yangu anaitwa Dori, mtoto wa kijita ana sura nzuriiiiiii balaa!Leo nataka nikubless tu laaziz au sio? πΉπΉ
Njoo tule safari, mana kuna mtu alisema eti celeb wa Nigeria sio mimi. Nilicheka sana.!!
Sasa nimeamua kuweka pic yenye chupa wa bia la nyumbani kabisaaaa
ππ BabesDadaangu mcute β€οΈβ€οΈ
Hahah yaani haka kaeneo huwezi kupita bila kijitwanga fotoo hata kama huna wa kukupiga picha wahudumu kibao tu unaita mmoja mambo safi!Umemeeeeeeeeeeee πππ
Huyu mtu au jini?
Mate igweeeeeeeeeeee ππππ
Forest Hill stand up
Halafu nna pic ya hilo eneo ujue.. kiti hiko hiko nilikaaa πΉπΉπΉπΉ
Hahaha hapo ilikua unajikuta nani vile kwani/ulikua unamuambia nini coca.Leo nataka nikubless tu laaziz au sio? πΉπΉ
Njoo tule safari, mana kuna mtu alisema eti celeb wa Nigeria sio mimi. Nilicheka sana.!!
Sasa nimeamua kuweka pic yenye chupa wa bia la nyumbani kabisaaaa
πΉπΉπΉ Mi nakufananisha na Neema naye msingidani wa Forest πΉUnafanana na rafiki yangu anaitwa Dori, mtoto wa kijita ana sura nzuriiiiiii balaa!
Mashallah rangi π₯
π π π Sema fore kulikuwaga na kazi zimesimama hatari!πΉπΉπΉ Mi nakufananisha na Neema naye msingidani wa Forest πΉ
Mi mkinga sasa dah..!!
πΉπΉπΉ Nilikua naona ananichelewesha na dompo yake..!! Analeta nzi na nyuki tu..!!Hahaha hapo ilikua unajikuta nani vile kwani/ulikua unamuambia nini coca.
Oyaa nimekubali Leo mchuchu
Umetisha sana, mpaka vishimo ndo viugonjwa vya chino hivo