Selfika na JF: Snap it. Show it


Sijavuta hata Mirinda nyeusi mimi, Meona tuu ndoa inavyokandiwa, wanawake wanavyokejeliwa nikachokaa!
 
Kuna mahali inafika uvumilivu unaisha.. Utu unakutoka... Maana inakera sana... Siku hizi sibishani na mtu.. Nambanika kimya kimya halafu namwendea PM namwambia wazi hiyo kazi ni mimi
Neno hilo mkuu, sema ndugu yangu wewe mpaka mtu akukasirishe kweli atakua amezidi maana huwa hunaga hasira za haraka

Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…