Selfika na JF: Snap it. Show it

alafu mna match balaaa
Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!

Si unakumbuka shengesha tulomfanyia babu miga mpaka akarusha taulo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Roho iliniuma nilichelewa kuusoma mchezo.
 
Mie natumia nokia 1100, yeye anatumia 3310..
Yaani anatumia simu mara 3 ya kwangu chukua 3310 gawa kwa 1100 ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
Khaaaaaa..!! Maka acha ujinga unafanya nacheka km chizi..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Halafu home niko peke yangu leo basi najitisha mwenyewe na hili base..!! ๐Ÿ˜น
 
SHida yako huniaminigi ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚
 
Hilo halina ubishi ndiomana wakatuvuruga ili wapate upenyo wa kumdhalilisha asipate mtetezi..!!

Si unakumbuka shengesha tulomfanyia babu miga mpaka akarusha taulo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Roho iliniuma nilichelewa kuusoma mchezo.
Combo hii parfect sana ni kama libasegeye na aura!! Uzuri wote ni wazee wa kuflash vitu.

Mi mwenyewe na jivunia kua na bodyguard kama wewe pembeni
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hivi auntie wangu mshunuu mzima jamani ๐Ÿฅฐ

Nilikwambia umlete ukajizungusha mtsieww..!! ๐Ÿ˜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ