Selfika na JF: Snap it. Show it

Mamaa! mamaa! 😻

Mungu ana watu wake kawapendelea jamanii..!! πŸ₯°πŸ˜»πŸ˜»

Checkini likaka lilivyo li hanshamu afu limepoaaaa..!!

Kiongozi em shtua ya mwisho ukiwa umetugeukia kuna kitu nataka kuona pls..!! πŸ˜₯

Mamaa! mamaa! 😻

Mungu ana watu wake kawapendelea jamanii..!! πŸ₯°πŸ˜»πŸ˜»

Checkini likaka lilivyo li hanshamu afu limepoaaaa..!!

Kiongozi em shtua ya mwisho ukiwa umetugeukia kuna kitu nataka kuona pls..!! πŸ˜₯
 
Hanitaki anataka gen z eti!
Gen z Gani sasa? Nilishamuweka kwa Gen z mmoja humu kabinti kadogo dogo kabisa kanaitwa miss eyez, ila wakashindwana.

Baada ya muda nikaona anaimendea mishangazi humu akawa anamtaka antonia, mara fake p, mara lamomy, mara tayana wog, yaani akawa haeleweki, mara akataka kuhamia upande wa pili(ule wa kina coca). Hapo ndio nilipoona huyu dogo sasa anaenda siko, ndio nikaamua atulie hapo kwako.

Naomba umvumilie nitaongea nae Leo kiutu uzima nijue tatizo
 
Wachawi tumewajua walivyo wapumbavu kama shangazi zao wakaishia kuzungukana na kuporana mboo za JF..!! Aibu yao. Wape salamu
Mmmh toka lini umeanza uoga wa kuandika mafumbo? Hebu weka samareee vizuri, kina nani hao🀣🀣

Fungua code nipige fundo hii Jager hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…