Selfika na JF: Snap it. Show it

Haswa kama umeipa nafasi
Wengine had wanahisi kuumwa wasipoingia
Mimi hakuna mtu nayemjua nje ya hapa so i can stay hata mwez na nsifeel kitu zaid ya ombwe la taarifa
Kufahamiana sio shida, ila je unafahamiana na nani? Na kwa lengi gani?

Wapo watu wema na wamenyooka humu. Nina shuhuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…