Selfika na JF: Snap it. Show it

Humu JF kuna cases nyingi sana, usipo kua makini you can fall into a trap.

PM nahisi humu kua on si jambo la kuwa careless kabisa.

Kama ni mwanaharakati wa kisiasa humu zima kabsa PM mpaka last seen wasione its not safe.
Aisee mimi haijanisumbua sana, ila tangu huyo mpuuzi nmepata funzo kubwa yani sitaki mazoea! Mtu anaweza kuja kama pastor kumbe mshenzi tu🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…