spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,348
- 22,333
Wewe seems mkongwe tuma picha tukuone kama mpya au id mpya tuDuhh watu wenye oesa jamaniππΎ
Alikuwa anaitwa nani nimkwepe?ππ½ββοΈ
Ukiparuhusu paje kipumbavu inakuwa hivyo!kwenda uko piem zaman sana nlkua napatumia nadhani kutakua kumebadilika sasa
Dawa ni kufunga tuUkiparuhusu paje kipumbavu inakuwa hivyo!
Upgrade watu sasa hivi wana wifiNext week vochaa naanza kuzimwaga ππ
Hahahah ili sisi tuamke saa nne tukose vibarua?Nsogezeeni shift
Mungu awasaidie sana! Wana ujasiri jamaniKuna maombaomba humu hadi wa kiume wapo
Mbwembwe naziwezea wapi weekend nipo ziwaniUpgrade watu sasa hivi wana wifi
Wewe wafuate hukohuko tu! Kwann uifunge?Yangu ndo nmeifunga
Kila siku asubuhi, ma boss walikua wengi humu, babu miga, Wige, mjepOver hivi ilkua kila weekend
Pembeni kuna mjomba anasema sjui yupo nchi gan kumbe kigambonKila siku asubuhi, ma boss walikua wengi humu, babu miga, Wige, mjep
Etc.
Ko kila time vocha zinamwagwa hapa.
ππππ those days, daah.
Husahau? Hafu mimi sijawahi miliki id tofauti na hii take it or leave it!Tuma picha boss
Kwanini niifungue?Wewe wafuate hukohuko tu! Kwann uifunge?
Ukianza hizi tambo utaokota kibao halafu matokeo yake ndio kama haya unayoyaona leoπInabidi niopoe 10/10 moja humu niipeleke Williamsburg, Brooklyn π.
Shusha pichaHusahau? Hafu mimi sijawahi miliki id tofauti na hii take it or leave it!
Mbona yupoo na leo mlikua nae humu.Pembeni kuna mjomba anasema sjui yupo nchi gan kumbe kigambon
Those days
Situmi. Mimi mkongwe kivyangu sio kijf.. sio lazima wote tulio humu tulijoin mwaka mmoja na ninyiππ½Wewe seems mkongwe tuma picha tukuone kama mpya au id mpya tu
Aaah Mwanetu hivi ni Huyo ππMbona yupoo na leo mlikua nae humu.
Si ni huyu Vincenzo Jr
Ni yeye, πππAaah Mwanetu hivi ni Huyo ππ
Nakumbuka nilipokuwa mgeni nilipokea pm nyingi tu, kuna mshenzi akaniijia kwa mazoea nikajua mtu nimechat nalo pm kumbe la ajabu kweli! Tangu hiyo siku nikajua humu psychos hawatokosekana zaidi nikasema nifunge tu!Dawa ni kufunga tu
Ile ilkua ya moto zile pisi kali sizioni jukwaanMbona yupoo na leo mlikua nae humu.
Si ni huyu Vincenzo Jr