Selfika na JF: Snap it. Show it


Mie nawasomagaaa naishia tu kusonya kimoyomoyo. Ukiwakuta mafurushi wanavyopeana moyo kwenye hamna unaishia tu kusema "hiiiiiii" Mungu atufanyie wepesi.
 
Sijui kwanini siwezagi kuvumilia kuona wanawake tukidhalilishwa na wanaume,, labda ipo siku nitaweza kuzikalia kimya hizo kejeli zao zote juu yetu..

Mie nawasomagaaa naishia tu kusonya kimoyomoyo. Ukiwakuta mafurushi wanavyopeana moyo kwenye hamna unaishia tu kusema "hiiiiiii" Mungu atufanyie wepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi namshukuru tu Mshana kwa huu uzi wake yaani kwa kiasi kikubwa umenifanya niache kujichosha kubishana na mafurushi,, niko zangu huku natoa stress wala hata sitaki kuchangia sana kwenye hizo nyuzi za ndoa maana unaweza tamani ulaani mtoto wa mtu.. halafu yalivyo mabishi sasa hiiiii
Yaani, tena mtu anadiriki kumuita mwanamke ngombe, amemzalia tundama!! Imagine mwanaume anaweza ita watoto wake tundama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Haki ya nani tena wengi wana stress,, mie wengine nimebishana nao weeeee hadi tumeishia tu kuwa marafiki siku hizi tunaitana baby sijui love.. mwingine huyo ndiyo sijui kapotelea wapi nimemmiss hatari
Wanachoshaaa!! Utaishia tu kusoma na kupita.
Mmoja alijisemea wana stress hivyo tuwaache tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…