Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,249
- 98,154
mmh kweli ? mbn ukichombeza watu wanakua wakali as if kuna mtu wake humu ataona na kumuharibia deals zake?Mmh jimbo lente mtu humu ni 1 tu official na linajulikana bwana
Wengine utani tu 🤣🤣
Aisee mambo ni moto juu ya moto😂, ni miujiza moto fire🔥Juzi Kuna dada nimepishana nae nikamsikia anasema jua ni Kali acha niende ivo ivo! Nikasema huyu anaongea na nani na simu hapana! Na Mimi hapana. NAMI nikaishia kucheka peke angu
Mmmhmmh kweli ? mbn ukichombeza watu wanakua wakali as if kuna mtu wake humu ataona na kumuharibia deals zake?
Dah mnatusema sana jamani🥹dah si mchezo ,life imekua tyt sana
halafu unakuta mdada unamsaidia hata 20k anakudharau ,wkt road anaongea mwenyewe
ok basi ila nachosema pia kipoMmmh
Couple humu inajulikana jmn au n
Watajua tu umeniroga maana sio mambo zangu kabisa😅Usije ukaanza nishushia ma threadz Kila siku jukwaani watu wakasema umepatwa na nini
hahahahahaha,mfano tu Mkuu ,Dah mnatusema sana jamani🥹
Si kweliiMtoto wa kike mara nyingi anamthamini mtu anayemtatulia shida zake kwa wakati huo alio nao. Siku ukiwa huna ;aliyenacho ndio anachukua nafasi yako ya ufalme.
Nenda kawe tu😂humu pagumu sana, majimbo yote hayasomeki
ngoja nikadoee soda za kipairamara
Happy Sunday too dearDuh bundle lilikata
Next time
Happy Sunday
Sawa siwezi bisha maana we ni mwanaume unajua zaidiok basi ila nachosema pia kipo
Hujaamua tu we mbaba😁hapana sijaingia jimbo la mtu ila si naona humu kuwa majimbo yana wenyewe ,so unakua mpole tu , mie natafuta la kudumu
Ndio kipenziHappy Sunday too dear
Ushatoka church
🤣🤣🤣Hujaamua tu we mbaba😁
Ukimuamlia mmoja hapa siku aishi unajipigia mapema sana🤣
kawe jioni ,nataka nikafuate samaki pale mnadani nina hamu nao kisha nisogeee wantashiNenda kawe tu😂
Cheza kama pele, zama pm jukwaani mtu anakuwa anacheza huku na huku mtaaibishana bure! Kavipi njoo tuvute *** hapa huku nakushauri jinsi ya kujinasia bunye kirahisi😂mmh kweli ? mbn ukichombeza watu wanakua wakali as if kuna mtu wake humu ataona na kumuharibia deals zake?
Haya tubless na kapicha ka churchNdio kipenzi
Aisee!hahahahahaha,mfano tu Mkuu ,
Kama nilivokuona ulivyoitamka kwa msisitizoSi kwelii
Au nasema uongo ndugu zanguni🤷🏽♀️