binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,819
- 43,504
Hivi kumbe ni wewe!!Nipo hapa, sasa hivi wana technique na vifaa vya kufa mtu, ila hawana akili, skill wala technique ya kuvitumia ili viwe na majibu, sio kule wala pale hawana expert alie ivaa kwenye OSNIT wote tia maji tia maji, ila wangekuwa na expert kwenye hiyo angle mbona humu ni kuokotwa kama kuku wenye videli.. ivi nilikutumia hadi ka sample PM 😂😂 sasa ipo kubwa zaidi..
Nalog off
🥰Mimi sina shida na mtu, nipo humu ili nifurahi na kuburudika. Sema ile picha lazima itakuletea usumbufu, ni nzuri sana. 😊
Eeeh mtu ya kongo huyo 🤣🤣Nani mkongomani? 😀
Mbona unanitisha jamani
Ungemjibu la hasha sim fahamu 🤣🤣Hana shida mtu wa Mungu Chivundu
Ila kuna watu humu sio wa kuwa amini ni kukaa kimasta.
Kuna mkaka after maandamano aliniuliza swali fulani kuhusu Dodoma. huyu hapa MlimaSayuni
Kuna ID ikaja kuniuliza kama namfahamu huyo mtu.
Naomba hiyo picha banaMimi sina shida na mtu, nipo humu ili nifurahi na kuburudika. Sema ile picha lazima itakuletea usumbufu, ni nzuri sana. 😊
🥰
Mimi ni an old dog, vijana wakae watulie 😂
Bora umesema wewe labda atatii😌Naomba hiyo picha bana
Kabla sijakuitia uhamiaji
Nilimtukanaaaa! Imagine ile issue ya october ilivyokuwa moto halafu mtu anakuja kuniuliza kama namjua huyo jamaa!Ungemjibu la hasha sim fahamu 🤣🤣
Alikosea kumeza on empty stomachMnameza vitunguu saumu bila kula, fanya jaribio dogo tu then utatuletea mrejesho, ponda kitunguu saumu weka juu ya ngozi baada ya dakika 15 utatuletea majibu sote.
Usiumize utumbo wako bure
Usimuitie nimekuwekea. 😀Naomba hiyo picha bana
Kabla sijakuitia uhamiaji
Can someone bring it up please!, mkuu kuna watu tuna uwezo mdogo sana wa ku-imagine
Tayariiii🔥🔥Bora umesema wewe labda atatii😌
Tayari mama Bango hilo watu wa IT shwaaaa🤗Usimuitue nimekuwekea. 😀
Kashangazi.Ukiwa na maana gani? 😊
Naomba hiyo picha bana
Kabla sijakuitia uhamiaji
Anatutania huyu 🤣🤣🤣Binti kama huyu anawezaje kuwa kiziwi!, mkuu una utani na huo uzuri sio!