Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,622
- 183,987
Yaniiii sijui nilikua nashamala wapi walaiUnaswampa sana
Yaniiii sijui nilikua nashamala wapi walaiUnaswampa sana
Pole nikipita tena nitakushtuaYaniiii sijui nilikua nashamala wapi walai
BalaaaMsimulie Seran vita nilopigana mnywani!! Najua Christine_1 yee anafahamu vizuri
Aisee nipeni past papers hii biashara ya kulala unaamka asubuhi unaadui hujui sababu inanishangaza huku ndani🤣Msimulie Seran vita nilopigana mnywani!! Najua Christine_1 yee anafahamu vizuri
Watu wanakuja na kufubaa!! Ila mnywani umegoma kushuka nambaNna mpya sasa katibu siunajua uzeee ushabisha hodi!!!
Leo nna za miaka 47 ilopita katibu
Hewaaah!! Sasa Hapa usiku 😴😴 wa leo utakuwa mzuri kwangu , wewe utazeeka na utamu wako❤️Nna mpya sasa katibu siunajua uzeee ushabisha hodi!!!
Leo nna za miaka 47 ilopita katibu
Kamwili kazuri kadogodogo, wenzio mishangazi tuko hapa kufarijiana😎😀😀but why, asante sana 😊🙏
Usinisifie uonho si umeona uzi🤣🤣🤣Aisee skin, glowing 🙌
Ulikuwa unaanda bango 😂Yaniiii sijui nilikua nashamala wapi walai
Ndokusema umedinda kurudia jamani dahhhh!!Pole nikipita tena nitakushtua
Tuma picha isio na nguo niombe hizo chale ulizo chanwa na watesi ili usipate mume😆 niombee kesho upate mumeSawa, na nguo au bila nguo?😁
Aah jmn irudiwe😀😀but why, asante sana 😊🙏
Nimeumia! NapitwajeSi ushaona lkn nimerudia
hahaa
Asante sana 😀😀 hapo ndiyo nimenenepa sasaKamwili kazuri kadogodogo, wenzio mishangazi tuko hapa kufarijiana😎
Aanh we hapo hakuna wa kubisha atakuwa na maisha magumu na madeni lukuki atakeyeponda hii picha!Usinisifie uonho si umeona uzi🤣🤣🤣
Wee tupia nyingi nyingi tu jamani! Huu uzi hautakiwi kupoa mjuee!!😀😀 lakini unanijua