Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,234
- 6,465
Mmekumbwa na nini familia, mnanishtua mjue😁😁😁
Isije na we siku ya siku ukatuamkia
Mmekumbwa na nini familia, mnanishtua mjue😁😁😁
Isije na we siku ya siku ukatuamkia
Ulikuwa wapi weye Brian naweee??? Umepitwa sanaaa watu wametupia vitru matratra sanaa.. tena nakedddfddInaonekana nimepitwa na mengi sana
😄😄😄😄😄😄😄😄!!Mmekumbwa na nini familia, mnanishtua mjue
Tunawaita the wana be’s hao wanajisafisha waonekane hawafanyagi ushenzi, ila wengine ndio hawafai kuliko wao😂Kuna enye wanajifanya very descent maninazao kumbe ni mbwamwitu walojivika ngozi ya kondoo!!
Ss napita halafu mnaweza download pia pichaTunawaita the wana be’s hao wanajisafisha waonekane hawafanyagi ushenzi, ila wengine ndio hawafai kuliko wao😂
Mimi ndomana nkitupia naacha masaa ili wakusevu wazisevu wasokuepo wazikute wazisevu vizuri wasihangaike kutumiana.Ss napita halafu mnaweza download pia picha
Haya hiyo hapo wasaveMimi ndomana nkitupia naacha masaa ili wakusevu wazisevu wasokuepo wazikute wazisevu vizuri wasihangaike kutumiana.
Siogopi sidaiwi na mtu sijaree na wala sio shida zangu
Wakaoneshane huko vichochoroni sio😅Ss napita halafu mnaweza download pia picha
Seran Brian Spilner msiseme sijawaita. Kitu nakeddd kweriiiikweriiii!!
UmechekewaWakaoneshane huko vichochoroni sio😅
Hahahah unahakikisha maadui zako wote wanaungana kwa picha yako🤣Mimi ndomana nkitupia naacha masaa ili wakusevu wazisevu wasokuepo wazikute wazisevu vizuri wasihangaike kutumiana.
Siogopi sidaiwi na mtu sijaree na wala sio shida zangu
Ipo ngoja nikutafutieSeran Brian Spilner msiseme sijawaita. Kitu nakeddd kweriiiikweriiii!!
Umependeza mamchu siku ukipiga ulosimama nichukue mshono jamani si wajua tena!!
Kwahiyo nisiende hata bathroom! Sitaki irudiwee😒Umechekewa
UmechelewaNipo mamaake☺️