Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,574
- 42,918
Sanaaaa hahaaKuna enye ni mabinti wamechakaa sura ngumu kuliko hata sie the aunties hebu watuache hukoo!! 😄😄😄☺☺☺☺
Sanaaaa hahaaKuna enye ni mabinti wamechakaa sura ngumu kuliko hata sie the aunties hebu watuache hukoo!! 😄😄😄☺☺☺☺
Na mna miili mizuri hadi raha miili ya kubebeka na kumdekea mtu!Miili yetu ya kujidai
Jamani si tumekubaliana tunasifia kila atakaye selfika au😂😂😂Kuna enye ni mabinti wamechakaa sura ngumu kuliko hata sie the aunties hebu watuache hukoo!! 😄😄😄☺☺☺☺
Acha kabisa mnywani!!Hahaha na sio vita mmoja!!
Na kama ni jeshini ungekua na cheo cha u field marshal
Kabisaa! Wenzie tuna kazi ya kuvunja chaga huku😁Na mna miili muzuri hadi raha miili ya kubebeka na kumdekea mtu!
Ukimkalia mtu unachambwa ufanye mazoezi utamuua ☺☺☺Kabisaa! Wenzie tuna kazi ya kuvunja chaga huku😁
Nilimkalia mtu kwenye paja nilifukuzwa🤦🏽♀️Ukimkalia mtu unachambwa ufanye mazoezi utamuua ☺☺☺
Ila akili yako wwNilimkalia mtu kwenye paja nilifukuzwa🤦🏽♀️
Hakuna picha nilizipenda kama hizi jamani😍Haya waichukue
Kuna vitu vikikukalia hata kama ni vizito kiasi gana Kuna mda unavungaUkimkalia mtu unachambwa ufanye mazoezi utamuua ☺☺☺
Aliniudhi😂Ila akili yako ww
Nimecheka
Ndo ilivo lamama yule usingempa credits uone venye angeumia kukosa wakumuunga mkono!!Jamani si tumekubaliana tunasifia kila atakaye selfika au😂😂😂
Wee kuna wenzio hawavungi!Kuna vitu vikikukalia hata kama ni vizito kiasi gana Kuna mda unavunga
HahaaHakuna picha nilizipenda kama hizi jamani😍
Umeniacha hapa mamaake, wapi hapo nimeyabananga?Ndo ilivo lamama yule usingempa credits uone venye angeumia kukosa wakumuunga mkono!!
Umefanya kosa kureact palepale!
Oya weeeeHaya waichukue
Zilikuwa nzuri sana natumai wengi walizikubali sana ile siku!Hahaa
asante kumbe
Ninazo kibao
Weee mnywani bongez iko siku watakuua ujue khaa!!Kuna vitu vikikukalia hata kama ni vizito kiasi gana Kuna mda unavunga
Alooo😢😢Ulikuwa wapi weye Brian naweee??? Umepitwa sanaaa watu wametupia vitru matratra sanaa.. tena nakedddfdd