Siyo hiyo yenu sasa,hii ni ile nikishiba michembe mwanaume wa dar namtandika vizuri tu😂
Si Bora hata awe mke!!Ndiomaanake! Kwanza mie muda wote nimechoka😌
Yaliwahi kukukuta kwa wife sio😂
Safi! Hata mimi nataka niwe hivyo😎Si Bora hata awe mke!!
Toto mmoja la kimmanyema!
Pamoja najitihada zangu zote ndo kwanza yeye kama anaanza.
Siku iyo nilitoa sababu za kutosha!
Mara Kuna vitu vina ni confuse oficini.
Wacha wee😂Shukran sana!
Eehh fanya manuva utubles mchana wetu uwe stedee!
Kiganja ufanyie nini mkuu😂Hata ka kiganja tu mkuu
Namna hioooo Mnywani utakubali kutandikwa na mwanamke kweli??? Bila shaka huwezi nangushaSiyo hiyo yenu sasa,hii ni ile nikishiba michembe mwanaume wa dar namtandika vizuri tu😂
Aisee basi maoni yametosha haya nifundeni mwee🤣
Ilibidi nikajicock nije vizuri!!Safi! Hata mimi nataka niwe hivyo😎
Ukinigusa tu, napiga ukunga mjimba kameza shoka🤣
Si nikakaa standby nisipitwe na blessings hapa loh!!Wacha wee😂
Hahahah ulitaka umbake🙆🏽♀️Ilibidi nikajicock nije vizuri!!
Hio ndio ilikua vita ya tatu ya dunia
Nakuaminia usiniangushe mnywani
Mie nna 85…Km anafanya na mazoezi kazi kwake
Mi sijawahi fanya mazoezi😆
Sahivi nimejiachia nifike 75
Au tukupe somo wa kizaramuAisee basi maoni yametosha haya nifundeni mwee🤣
Wee mdomo ndio sitaweza😅Au tukupe somo wa kizaramu
😄😄😄😄😄😄😄😄!Si Bora hata awe mke!!
Toto mmoja la kimmanyema!
Pamoja najitihada zangu zote ndo kwanza yeye kama anaanza.
Siku iyo nilitoa sababu za kutosha!
Mara Kuna vitu vina ni confuse oficini.
Kaa hapo kama unachemsha maziwaSi nikakaa standby nisipitwe na blessings hapa loh!!
Here standby mamy!Kaa hapo kama unachemsha maziwa
Ukiangalia pembeni tu kidogo yanamwagika😂😂😂