Selfika na JF: Snap it. Show it

Maji ya kunywa?????

Ifikie hatua Mimi niache kula mimi navopenda kula??☺

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Yes , water therapy huijui??
Peke yake unapungua
Ila ya kawaida kabisa ya kunywa yasiwe ya moto tumia kabla hujala

Imagine asbuhi unywe maji ...unadhani utakua na hamu ya chai???utakula lkn muda unavyoendq utapunguza kula
 
Baada ya mazoezi usinywe maji kwanza utakufa kwa hiyo njaa yakeπŸ˜‚ kula kwanza ndizi irudishe nguvu then baada ya muda kidogo ndio unywe hayo maji yako..

My dear huwa nanenepa kuanzia kichwa mpaka miguuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Km anafanya na mazoezi kazi kwake
Mi sijawahi fanya mazoeziπŸ˜†
Sahivi nimejiachia nifike 75
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…