Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,322
- 42,268
Aah leo nimekubamba🔥🔥View attachment 3662441Bora tulitunza picha zetu za mwaka 47, vinginevyo vijana wangeendelea kutupinga tu babu zao 🤗
Hello Thursday 🥂
Hii michembe, matoborwa sio hayoUnanikumbusha mboli! Kitu cha toborwa aka michembe
Maji ya kunywa?????Unajua maji tu peke yake unaweza oungua vzr sn
Asbh lita 1, mchana lita 1 na jioni lita 1
Unakunywa saa 1 kabla ya kula
Yaani ni unapungua vzr sn bila stress
Coz automatically hutatumia soda , juice utajikuta unaacha ht chai baada ya muda utaacha
Seran
Juziii?Yajuzi usiku flani sikuiona mamchu usinibanie !
Na Kapachino pia alikukumbuka sio mbaya ukambless kitambo hajakuona
Nitapita naked siku moja mjukuu, hofu yangu Wajukuu watahimili kuniona Babu yao nimesimama na mkongojo 🤪Ndonini kukata hivi wee babu lakini?? Umecrop sana!
Mara moja moja uwe unapita naked na kutupia full babu
Ina kazi nyingi snSamaleko
Ifike mahali mseme ukweli kuhusu hiyo juice ya bamia, ni kweli hapo vita ni unene au kuna usilosemaa kwa wadada wenzio😄😄..
Samahni ndo nimetoka niende lunch, ata sijui nasema nini
Kumbukumbu ya mwaka 47 hiyo mjukuu 🤭Aah leo nimekubamba🔥🔥
Eendiwooo mamchu ile ulitupia Ukisema mwanzo ulikuwa hiviii ila saivi umepungua kidogo fanya manuva pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzzJuziii?
Nishakinda sana!!Hii michembe, matoborwa sio hayo
AyaaaaNdio mamchu ile ulitupia Ukisema mwanzo ulikuwa hiviii ila saivi umepungua kidogo fanya manuva pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
Kazi yenye inaambatana na utelezi wake😄Ina kazi nyingi sn
Haya sema unataka kujua nn?😆😆😆😆
Tunasuiria kwahamu babuNitapita naked siku moja mjukuu, hofu yangu Wajukuu watahimili kuniona Babu yao nimesimama na mkongojo 🤪
Sijapoa!!Ayaaaa
Pole
Hahah
Hakuna loloteKumbukumbu ya mwaka 47 hiyo mjukuu 🤭
Kwa mie inanisaidia sbb nina ulcersKazi yenye inaambatana na utelezi wake😄
Babu anatuona sie watoto ana utani sanaHakuna lolote
Hahaha
Na siku za mwanzoni mwamba achezi mbali sana akitembea sana kasogea seblenAah we famchezo nn😁
Ndokwanza katikati ya siku saa saba mchana wa jua kali balaa mjuee!!Kazi yenye inaambatana na utelezi wake😄
Anhaa..Kwa mie inanisaidia sbb nina ulcers