Selfika na JF: Snap it. Show it

Siku nyingine kula ndizi mbivu๐Ÿ˜

Ila mnanihamasisha nianze mazoeziโ€ฆ nimekua kibonge
 
Siku nyingine kula ndizi mbivu๐Ÿ˜

Ila mnanihamasisha nianze mazoeziโ€ฆ nimekua kibonge
Asante sana nilisikia hio sikuzingatiaga sana kumbe. Ndizi nakula katika mpangilio upi??

Yani ile hali ya jana sitaki hata kuisikia ilikuwa hatari sana.

Hebu nibless uvonenepa nione wengine mnanenepaga vizuri mimi sasa najaa juu na kitambi tu kha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ