Itakusaidia hiiChristine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!
Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Toto kama limbatu Bantu Lady linapita hapo usigeuke kweliMna matatizo, oeni kupunguza tamaa zenu
Santo sana mnywani am waiting.It's Thursday tbt za kutosha Leo hata usijali utapata za kutosha.
Siunajua chino hajawahi kukupinga
Ni huyu mtoto Seran tu ndo aninipinga namuambia usiliphnguze yeye anataka alitoe kabisa! Ana lengo gani huyu
Santo sana kwa mwongozo!! Be blessedItakusaidia hii
View attachment 3662388
Shukrani sana mkuuPia niliwai kusoma sehemu kua Apple/tufaa huwa ni zuri linasaidia kwa mtu ambaye anakaa njaa muda mrefu
Afanye kama unavyofanyaga!!Santo sana mnywani am waiting.
Haha haliwezi isha mnywani tunapunguza nyamauzembe na vitampi walai miili imejaa kama viboko hii ni hatari sana kwa afya☺
Safi sana ngoja tuone hali itakuaje afu mi kitambi ndo kinachonichosha!Kula huwa sili sana, asubuhi nmekunywa chai ya karafuu, sausage na mayai, hapa lunch na skip mpaka jionii😎
Khakhaa! Kuna mwongozo tumepewa na mamchu naona ni bora zaidi mnywani. Ndo naujaribu hapa nione hali itakuajeAfanye kama unavyofanyaga!!
Hua unatumia mbinu gani mnywani.
Sijawahi ona umekongoloka ujue.
Mamchu ndio tinslay ehh?? Dk 0Khakhaa! Kuna mwongozo tumepewa na mamchu naona ni bora zaidi mnywani. Ndo naujaribu hapa nione hali itakuaje
Bado Nasubiria blessings zako niende kupigika juani mnywani do the needful
Sikutaka juaaa walai ile hali nilikua naenda kuzimaHahahaha nimechekaa, ukaanza kula zako andazi njiani ukaona unachelewa nyumbani!
Hapana ni churchgirl tayana wog a.k.a Christine_1Mamchu ndio tinslay ehh?? Dk 0
Tayana ndio christineHapana ni churchgirl tayana wog a.k.a Christine_1
Ndo umejificha hivo mnywani umetukatili sana.
Ndio mnywani!Tayana ndio christine
Mambo naked kabisa mnywani usijali zitakuja za kutoshaNdo umejificha hivo mnywani umetukatili sana.
Wabheja ivooivooo mnywani
Mtoto kanyooka sana!!Ndio mnywani!
Umekua uswahili lini mnywani aliyekuambukiza uswazi mwambie haendi mbinguni!Mambo naked kabisa mnywani usijali zitakuja za kutosha
Kabiiiiiiisa mnywani yuko vizuri.Mtoto kanyooka sana!!
Siku nyingine kula ndizi mbivu😁Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!
Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐