Sijui tu kwanini, especially mchana nilishashindwa!Sema kweli? Why
Hongera mimi nimeamua kushinda njaa kazini🥹Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!
7Kwema mkuu??
Kwa siku huwa unalala masaa mangapi??
Lengo ukipita tusiwe tunageuza shingo.Hongera mimi nimeamua kushinda njaa kazini🥹
Seran ☝️Christine_1 Seran jana nilianza zoezi sema vinaleta njaa balaa sijui ndo katika kutibu loh!!
Jana Asubuhi saa 1 nilikunywa kikombe cha majimoto niliweka asali si nikaunga nakumeza vitunguu saumu weeehhh saa mbili tu nilisikia njaaa kama sijala mwaka mzima . Ilikuwa njaaaa kali sana plus kichwa kiliumaaa hadi kizunguzungu.. Pembeni kulikua na kaduka nikanunua andazi nakuanza kula huku natembea barabarani 👐👐👐
Aah unapenda kulala kumbe 😃😃me manne mpaka matano tuu kila siku
Isije ikawa ni sleeping sickness.Ndo starehe yangu kuu
Hahahaha nimechekaa, ukaanza kula zako andazi njiani ukaona unachelewa nyumbani!
Mgeuze shingo kutafuta nini😅Lengo ukipita tusiwe tunageuza shingo.
Ushindwe kabisa
Weeee usishinde njaa ile totally punguza chakula mdogo mdogo..mi hapa leo asubuhi ndo nilikunywa majimoto yenye asali saii nimemaliza kunywa chai nameza hizo punje za vitunguu saumuHongera mimi nimeamua kushinda njaa kazini🥹
Nisipolalala vzr naamka nimechokaAah unapenda kulala kumbe 😃😃me manne mpaka matano tuu kila siku
Miss you more mnywanii kimya sanaa!Mnywani kama mnywani!! Mama kijana mwenye lingongingo lake mjini. I miss you. Hope uko sawa weituu.
Kula huwa sili sana, asubuhi nmekunywa chai ya karafuu, sausage na mayai, hapa lunch na skip mpaka jionii😎Weeee usishinde njaa ile totally punguza chakula mdogo mdogo..mi hapa leo asubuhi ndo nilikunywa majimoto yenye asali saii nimemaliza kunywa chai nameza hizo punje za vitunguu saumu
Na chakula pia nimepunguza nakula kidogo tu
Weeh jana nusura nizimie kwa njaa
Ila mamen tuna heka heka sana!!Mgeuze shingo kutafuta nini😅
Pia niliwai kusoma sehemu kua Apple/tufaa huwa ni zuri linasaidia kwa mtu ambaye anakaa njaa muda mrefuWeeee usishinde njaa ile totally punguza chakula mdogo mdogo..mi hapa leo asubuhi ndo nilikunywa majimoto yenye asali saii nimemaliza kunywa chai nameza hizo punje za vitunguu saumu
Na chakula pia nimepunguza nakula kidogo tu
Weeh jana nusura nizimie kwa njaa
Mna matatizo, oeni kupunguza tamaa zenuIla mamen tuna heka heka sana!!
Kuna vitu hata ukijaribu kuvikaushia ni ngumu;
Nikilala chini ya hapo ndo naamka nimechokaNisipolalala vzr naamka nimechoka
It's Thursday tbt za kutosha Leo hata usijali utapata za kutosha.Miss you more mnywanii kimya sanaa!
Am happy to see you trena mnywani fanya jambo kusindikiza chai yanguu