Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na mazoezi usiache mwali
Mm nilifika 78 mwili ulikuwa mzito
Sahivi nina 72 ni zoezi tu kila siku jioni
Aisee nitaanza, sitaweza! Nimekuwa kama toto tembo! Nataka nirudi kwenye 68 yangu I was just fine🥹
 
Back
Top Bottom