VERIFY
JF-Expert Member
- Dec 31, 2024
- 1,093
- 2,598
Daaah nmesikitika sanaBaadae pakitulia ntakuita
Daaah nmesikitika sanaBaadae pakitulia ntakuita
Umekata sana babuuu!!Bila kuwaletea ushahidi wa picha za mwaka 47, vijana hawaamini kama babu zao tumekula chumvi nyingi 🤭
Hello Friday 🥂
Pole sana nakuja unione live ili tupoze machungu😁Daaah nmesikitika sana
Lile tangazo la "mbwa mkali" getini lilisaidia sana yaani 🤭Kaa Kwa kutulia mzee!😅
Dahhhhh!! Nilale kwaraha gani nolizonazo lamamaa nipo kupigwa na jua tuMnasinzia kama kuku muda wote unaachwa😂
Mkuu hiyo picha ni ya tangu mwaka 47, nimekula chumvi nyingi kwa Uzee sasa 🤗Hahaha kijana tu , unatupanga ni babu😅
Babu! Nyanyua chuma hata kidogoView attachment 3650092
Bila kuwaletea ushahidi wa picha za mwaka 47, vijana hawaamini kama babu zao tumekula chumvi nyingi 🤭
Hello Friday 🥂
Shepu naitoa wapi wee min ! Unaraha sana asubuhi asubuhi unapiga zako bia!!Ni bless na mshepu bia zangu zishuke vizuri shemeji 😊
Si unajua Uzee huu vidole vinatetemeka, nashindwa kabisa kulenga sura yote 🤪Umekata sana babuuu!!
Unazidi kuwa kijana tu babu pendeza sanaa
Unapenda wabeba vyuma wee bintil!Babu! Nyanyua chuma hata kidogo
Kulenga kama kulenga ausio! Mara moja moja uwe unalenga vizuri tuone naked yako babuuu!!Si unajua Uzee huu vidole vinatetemeka, nashindwa kabisa kulenga sura yote 🤪
Enzi za mwaka 47 hizo 🤗
Bia hazina muda tii kiu yakoShepu naitoa wapi wee min ! Unaraha sana asubuhi asubuhi unapiga zako bia!!
Huku leo limepoa nafuu hata mabeseni nitayatembeza mwendo mrefu😃Dahhhhh!! Nilale kwaraha gani nolizonazo lamamaa nipo kupigwa na jua tu
Hamna ila babu anatakiwa kua na mkono wa kumtia kabali mgoni wakeUnapenda wabeba vyuma wee bintil!
Unapenda mikikimikiki ausio!!😊😊😄
Watu wa daslamu 😅Mapema sana kwani unasubiri nini? Niko njiani hivi sasa😁
Watajua wenyewe💃🏽Watu wa daslamu 😅
Bwashee waambie bata lipo huku .Watu wa daslamu 😅