min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,671
- 169,108
Dah nilikua nakula vi Heinken, kila siku, nikaona kama kakitambi kanakuja nikashtuka sna😅Na umbo la chura basi tafrani tupu🙆🏽♀️
Dah nilikua nakula vi Heinken, kila siku, nikaona kama kakitambi kanakuja nikashtuka sna😅Na umbo la chura basi tafrani tupu🙆🏽♀️
Hamna bana kasema ukweli..Haha min anakuponza huyu!
Kuwa makini tu-vitambi twa bia tubaya mno😁Dah nilikua nakula vi Heinken, kila siku, nikaona kama kakitambi kanakuja nikashtuka sna😅
Hahaha napiga rola kwa wivu mkubwa mno😅Kuwa makini tu vitambi twa bia tubaya mno😁
Kuhama sihami ila nitafanya jambo😎Mimi ukiniona utataka uhame kwenu uje kwangu 😎
Ahahaha jambo lipi tingKuhama sihami ila nitafanya jambo😎
Nibless kwanza utaonaAhahaha jambo lipi ting
Seran kama seranNibless kwanza utaona
Ni sekunde tatu tuNibless kwanza utaona
Achia baraka ba mnyogodeSeran kama seran
Nasubiri💃🏽Ni sekunde tatu tu
Ma mtu , utauliza babu mdomo upo wapi, ngoja nikapunguze ndevu kwanza😅Achia baraka ba mnyogode
Acha hivyohivyo tu😁Ma mtu , utauliza babu mdomo upo wapi, ngoja nikapunguze ndevu kwanza😅
Watoto wameanza niita babu osama 😅Acha hivyohivyo tu😁
em nimekaa kimtindo em nibless chapAiseww hizo lips🫦
Nakusanya mabegi yangu jioni nipo hapo😎
Hahahah kubali tu babuWatoto wameanza niita babu osama 😅