dosho12
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 4,591
- 12,517
kijana ana feli sana, niambie lini na wapi usailli unafanyika😎Njoo tu dosho bado napokea sahili nataka nimuondoe huyu hajui kazi😁View attachment 3649870
kijana ana feli sana, niambie lini na wapi usailli unafanyika😎Njoo tu dosho bado napokea sahili nataka nimuondoe huyu hajui kazi😁View attachment 3649870
Karibu pombeThanks sana hommie🥰
Hebu pita sasa nawe kama sisi ndio tumalize nikupe location😎kijana ana feli sana, niambie lini na wapi usailli unafanyika😎
Yaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.Kidoti karembo mno
Nimeimiss kinoma! Nikiidaka narudi asubuhi gheto😁Karibu pombe
Una kaumalaya kijana huogopi hata kuachiwa radhi wewe!🤣Yaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.
Na vile nalala mwenyewe kama mbao🤣
Jicho lake ndio lina balaa zaidi bwashee 😅akikuangalia unaweza sema anakutaka kumbe kawaida tuYaani meku hako kadoti na vilipsi vimenifanya niwaze ujinga hapa kitandani.
Na vile nalala mwenyewe kama mbao🤣
Umenikumbusha shule aisee niliteseka🤣Jicho lake ndio lina balaa zaidi bwashee 😅akikuangalia unaweza sema anakutaka kumbe kawaida tu
Dah siku hizi nakula makali kidogo tu nakaa mkao , tofauti na ma bia nilianza pata kitambi😅Nimeimiss kinoma! Nikiidaka narudi asubuhi gheto😁
Jicho tamu sana😋Umenikumbusha shule aisee niliteseka🤣
Mimi nimekuwa kifutu staki hata kujiona kwenye kioo😁 narudi zangu hard core aisee😅Dah siku hizi nakula makali kidogo tu nakaa mkao , tofauti na ma bia nilianza pata kitambi😅
Unavyojua kunijaza sasa hebu mi nikalaze komwe jamani😀Jicho tamu sana😋
Dah nimepitwaThanks sana hommie🥰
Ni ukweli , mimi siwezi kusifia uongo asee😅Unavyijua kunijaza sasa hebu mi nikalaze komwe jamani😀
Marudio jumamosi😅Dah nimepitwa
Naelewa ba mnyo’ basi poa.. we piga pombe zako frshy zitasoma kukicha!Ni ukweli , mimi siwezi kusifia uongo asee😅
Ntupie na mimi nione icho kidotiMarudio jumamosi😅
Umekua kama chatu mmeza mbuzi sio😅Mimi nimekuwa kifutu staki hata kujiona kwenye kioo😁 narudi zangu hard core aisee😅
Haha min anakuponza huyu!Ntupie na mimi nione icho kidoti
Na umbo la chura basi tafrani tupu🙆🏽♀️Umekua kama chatu mmeza mbuzi sio😅