Kwanini nipitwe! Hafu saiz sioni tags mods wana shida gani sijui!
Kuna na mwingine nimeona analalamika hilo lavkutoona tags. Sijui ndo mambo ya maboresho mapya hata selewi!Kwanini nipitwe! Hafu saiz sioni tags mods wana shida gani sijui!
Mkuu tafadhali rusha picha yako kwa faida ya wanajukwaa.Haya Broski naomba uje hapa mambo kwa ushahiiidi!😎
Yani tangu nirudi mtu akinitag sioni labda nikutane nayo njiani tu! Wanamtindo wa kublock notfc za member hawa mods!Kuna na mwingine nimeona analalamika hilo lavkutoona tags. Sijui ndo mambo ya maboresho mapya hata selewi!
Wanajukwaa wanafaidika nini na picha yangu mkuu? Hebu fanya unibless mimi nikalale usingizi mnono!Mkuu tafadhali rusha picha yako kwa faida ya wanajukwaa.
Yeah kuna muda wanazingua sana kwenye notifications!Yani tangu nirudi mtu akinitag sioni labda nikutane nayo njiani tu! Wanamtindo wa kublock notfc za member hawa mods!
Wakikuona pia una engage sana na watu wanakuwekea vikwazo tu!Yeah kuna muda wanazingua sana kwenye notifications!
Wanajukwaa wanafurahia mkuu kuona "mumamaz" warembo.Wanajukwaa wanafaidika nini na picha yangu mkuu? Hebu fanya unibless mimi nikalale usingizi mnono mie!
Kuna viranja nuksi natobotatu sitaki hata kuwasikia!!Wakikuona pia una engage sana na watu wanakuwekea vikwazo tu!
So kwelii😂Wanajukwaa wanafurahia mkuu kuona "mumamaz" warembo.
Hawakupataga uongozi utotoni?😆Kuna viranja nuksi natobotatu sitaki hata kuwasikia!!
Kweli, mi ni shahidi 😁So kwelii😂
Kweli mkuu wewe rusha picha uone watu watakavyofurahi.So kwelii😂
Kwani dosho umeanza lini kutaka kuona wamama nawewe huyo kijana atakuharibu kaa naye mbali!🤣Kweli, mi ni shahidi 😁
Mpo wangapi kwani mbona kama kuna kitu husemi😁Kweli mkuu wewe rusha picha uone watu watakavyofurahi.
Kubwa zima unapenda kubembelezwa tu.Mpo wangapi kwani mbona kama kuna kitu husemi😁
Umeniambukiza hizi tabia babaangu😎Kubwa zima unapenda kubembelezwa tu.
Jau sana hawa!Hawakupataga uongozi utotoni?😆