Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,581
- 83,126
Nilikuwa nawahi kibarua changu😃Nilikuja nikakuta ushasepa😃😃
Nilikuwa nawahi kibarua changu😃Nilikuja nikakuta ushasepa😃😃
Nipo hapa nasubiri ulete picha hivi unanichora kwaniniKwel mkuu upo wap saiv
Tumemalizana😃Nipo hapa nasubiri ulete picha hivi unanichora kwanini
Hukuingia night leo😃Nilikuwa nawahi kibarua changu😃
Nzuri sana na umefanana na avatar yako😝Tumemalizana😃
Hapana aisee!Hukuingia night leo😃
😃😃DahNzuri sana na umefanana na avatar yako😝
Sawaa mkuu uwe na siku njemaHapana aisee!
Ndio😁😃😃Dah
Kwako pia! Mkuu..Sawaa mkuu uwe na siku njema
Asante sana 🤜Ichukue tu
Karibu😊
Nimeamka saa 11 usingizi umekata,,Kwamba huna usingizi we binti?
Movie gani hii?
Polee wengine ukikata huo muda tunashuru, ukikata saa7-9 unaweza lia kwa uchungu!😖Nimeamka saa 11 usingizi umekata,,
🤣🤣🤣🤣,unakaa macho Hadi saa 12,muda wa kuamka na usiku hajalala.Polee wengine ukikata huo muda tunashuru, ukikata saa7-9 unaweza lia kwa uchungu!😖
Unaanza kusinzia kazini kama ulilala kidimbwi😅🤣🤣🤣🤣,unakaa macho Hadi saa 12,muda wa kuamka na usiku hajalala.
Hahahahah hii nayo aibu,,,,,mie kwangu usingizi ukinipata ni lazima nilale ata dakika tano tu nakuwa sawa,Unaanza kusinzia kazini kama ulilala kidimbwi😅
Hata mimi pia ila ni aibu ukidakwa😅Hahahahah hii nayo aibu,,,,,mie kwangu usingizi ukinipata ni lazima nilale ata dakika tano tu nakuwa sawa,
Mwanzo walikuwa wananiuliza vipi una njaa😁😁Hata mimi pia ila ni aibu ukidakwa😅