Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Machozi yangu kama ya nguva mkuu linadondoka chozi moja mengine nalia ndani kwa ndani 😃😃

Ewaaa sasa happ kwenye mpita njia kwakua nimeshakaa zaid ya saa niwe tuu mkazi wa hapa😃😃

Sawaa lighting inasumbua maana bila kupita huko mnaweza mkaishia kuona Giza
😃

Kwel yan nipp zangu kwenye early 20s zangu safi kabisa
Baada ya kusoma comment yako majibu yangu sasa👇

Nikuokotee mawe nikutandike hapa hapa😒
 
Back
Top Bottom