Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,428
Asante 😊🙏Nawe pia kipenzi lala unono
Asante 😊🙏Nawe pia kipenzi lala unono
Nimesahau ilikuwa ni ofisi ya Kanda ipi, ila ilikuwa kipindi nafatilia malipo ya pension yangu mwaka 47 🤭Ofisi yenu inapendeza sana...
Sijambo babu na nimeshatia timu ndani ya selfikaNimesahau ilikuwa ni ofisi ya Kanda ipi, ila ilikuwa kipindi nafatilia malipo ya pension yangu mwaka 47 🤭
Hujambo lakini Mkuu?
Karibu Selfika 🙏🙏
Ili tulazimu tuchomekee hivyo ili vijana tunapokwenda maofisini kwao kufatilia pension zetu wasituweke sana kwenye mabenchi 🤭Wazee mnachomekea balaa
Kuwa na imani na Wazee 🤭Aaaah,sitaki kuamini.
Nimefurahi kukuona hapa tenaSijambo babu na nimeshatia timu ndani ya selfika
Mjukuu wako nimekua 👇Nimefurahi kukuona hapa tena
Iwapo itakupendeza, tubariki Wazee na picha japo moja
Barikiwa na uwe na siku njema huko ulipo 🙏🙏🙏
Nimefurahi kusikia hivyo, Mungu aendelee kukutunza 🙏🙏Mjukuu wako nimekua 👇
🙏Nimefurahi kusikia hivyo, Mungu aendelee kukutunza 🙏🙏
Nitakuwa wa mwisho kuamini🚶♀️🚶♀️🚶♀️,Kuwa na imani na Wazee 🤭
Win,nimecheka kule na jibu lako,eti fungu la kukosa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.sijapita siku mingi eeh hebu nijilipue kidogo alf nikaslip
poleee 😅😅,, mwenzangu mi sielewi kama wenzetu wanapewaga kwa mafungu loh,, ilibaki kidogo niumbuke ndo nikajiwahiWin,nimecheka kule na jibu lako,eti fungu la kukosa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Nmeogopa kuchekea kule.
nionjeshe vitu vya zanz... 😋Poker njoo huku tunasubiri sms ya maokoto.View attachment 3635453
🤣🤣🤣🤣,Wana hasira kule🤣🤣🤣🤣, najichekeaga tu pembeni.poleee 😅😅,, mwenzangu mi sielewi kama wenzetu wanapewaga kwa mafungu loh,, ilibaki kidogo niumbuke ndo nikajiwahi
Karibu karibu na ulivyo na pilipili😜nionjeshe vitu vya zanz... 😋
acha tu na hivi mpaka saivi ni bila bila😅😅🤣🤣🤣🤣,Wana hasira kule🤣🤣🤣🤣, najichekeaga tu pembeni.
vitu zangu kabisa,, hebu toa location 💃Karibu karibu na ulivyo na pilipili😜
Nibless bas Warda na liselfie moja amaizing.Poker njoo huku tunasubiri sms ya maokoto.View attachment 3635453