Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,428
Baki nao tu kwanza 😂Hahahaha, najua ila mie Nina ujumbe nakuja nao
Baki nao tu kwanza 😂Hahahaha, najua ila mie Nina ujumbe nakuja nao
Haya sema🌚
HahahahaBaki nao tu kwanza 😂
Leo umenifurahisha sana 😅 yaan nimekuona full hujaleta mambo yako yale meusi ☺️ naomba hiyo VansHaya sema🌚
HahahahaBaki nao tu kwanza 😂
Sitaki yaani unicheke halafu nikuote 😒Usiku mwema, usisahau kuniota 😎
Usiku mwema MkuuHahahaha
Sawa wewe njoo tu uchukue. Karibu sana.Leo umenifurahisha sana 😅 yaan nimekuona full hujaleta mambo yako yale meusi ☺️ naomba hiyo Vans
Hata usingizi ninao basi, napita sehemu kuchungulia kwanzaUsiku mwema Mkuu
Unanijaribu 😅? Na nipo seriousSawa wewe njoo tu uchukue. Karibu sana.
Sawa endelea tu Mkuu GudubaiiiHata usingizi ninao basi, napita sehemu kuchungulia kwanza
Hata sasa hivi ukitaka we njoo tu nitakupatia🌚Unanijaribu 😅? Na nipo serious
😅😅 au tuagize tu maana?Hata sasa hivi ukitaka we njoo tu nitakupatia🌚
Wewe crush mgumu wewe. Unanipiga chenga kama za Messi.😅😅 au tuagize tu maana?