Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,978
Miaka ya 2000 kihonda ilikua moto maeneo yale , kumbe siku hz ndio pako doroKihonda sasa hivi ni kama imekuwa uswazi...niliishi hapo kidogo mwaka 93..wakati huo paliitwa nje ya mji...(ni kama hapo Mbeya uwe waishi Inyala au Songwe hivi)
Mjini wakati huo ilikuwa kule Boma
Mmmmh!Waguna nini?
Miaka ya 2000 kihonda ilikua moto maeneo yale , kumbe siku hz ndio pako doro
MTC | 101| [emoji769]
[emoji849][emoji849]Mmmmh!
Kumbe nilijua ni hayatiYupo hai
Insta blessednjugush
Nilikua Moro miaka ya 2000 ,kihonda ilikua juu , pale mjini kuna kahumba na chipukiziMi naona sasa watu wamejenga kila pahali, by then ilikuwa nyumba zipo mbali mbali kwenda kwa jirani unajishauri maana ni km 50m au zaidi apart...(hiyo ni enzi ya Mwinyi though)
Kumbe nilijua ni hayati
Nenda na wew IG tafuta jina la Yumna utakuta zimejaa tele zangu 😄😄😀😀 Nikuone na wewe me nmekupatia hadi user name yangu IG
Kihonda sasa hivi ni kama imekuwa uswazi...niliishi hapo kidogo mwaka 93..wakati huo paliitwa nje ya mji...(ni kama hapo Mbeya uwe waishi Inyala au Songwe hivi)
Mjini wakati huo ilikuwa kule Boma
Nenda na wew IG tafuta jina la Yumna utakuta zimejaa tele zangu 😄😄
Nilikua Moro miaka ya 2000 ,kihonda ilikua juu , pale mjini kuna kahumba na chipukizi
MTC | 101| [emoji769]
Kaone kanafurahi siri yako sasa usitangaze
Mmmmmmh!Aiseee,, basi wakazi wa Kihonda wanavyojimwambafy unaweza dhani ni kama Mbezi Beach kwa Dar..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaone kanafurahi siri yako sasa usitangaze
Mwanamke aliyevaa hijabZinakuja acc nyingi ata sijaiona
Umaarufu wake ulianza kitambo hicho, by then kunaanza ndio ilikuwa mji mpya wenye nyumba za kisasa...halafu zipo kwa nafasiAiseee,, basi wakazi wa Kihonda wanavyojimwambafy unaweza dhani ni kama Mbezi Beach kwa Dar..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sawa, nilikua pale miaka hy,jioni naenda kupasha viwanja vya nunge ,veta au jamhuri, usiku ijumaa km hii Moro hotel disco ,au chipukiziHiyo miaka makazi yangu yalikuwa nyanda za juu kaskazini, mostly chugastan...