Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 32,067
- 91,679
Wewe binti nipo vijijini mimi endelea kunipamba, hapa nasubiri makande ya jioni yaive!kuna watu wataamini unakoka kuni kweli,, mtu unakaa mtaa wa kitajiri hivi hata mkaa mnaujua kweli 🤔😩😁😁
Haya bisha😎