Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

nielekeze kwanza wanapo fanya massage mwili wangu unauma mnooo esp huku mgongoni nahisi nahitaji strong massage aseee😇
Pole sana unataka sehemu gani, njoo huku mbezi chini karibu na orca deco
 
niambie kwanza bei zao nijue natoka na kitita cha afu ngapi😄😄😄 au mawasiliano yao niwaulizie
We ingia instagram search spa zipo kibao huwezi kukosa unayoitaka! Tena hiyo ndio mbinu rahisi kuliko hii..
 
Mambo vipi? Mwaendeleaje na hali?

cocastic ifike muda huyo ba tramu akuachie sasa, kwanza mahari yenyewe hajatoa kwann unampa yote? 😹😹😹😹

ShesRise_1 upo? Njoo unipe mbinu za mazoezi nimeongeza kilo moja nna stress 😹
Sijui lile pilau la weekend..

makaveli10 kila nikiangalia ile pic ya trainer na mwanafunzi wake mbavu zinaniuma..!!
Kupungua Jambo jepesi saana,

Sema... Tuanze kukupa formula
 
Sumbai upo?

Nipe formula nimeongeza kilo 1 imeninyima raha 😥

Hapa nashindia matango na maji 😹
Hahaha...

Mama Kula tuu, kama ni shemeji mwambie akupende hivyo hivyo yaan asithubutu kukuacha
 
bfba8a1774288b1c5223e559cec42239.jpg

Karibuni sana ukanda wa savana
 
Back
Top Bottom