win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,911
- 30,264
😄😄😄 haya umepitwa tayaliNjoo bana
Jamani nilikuwa nahudumia ulanzi😩
😄😄😄 haya umepitwa tayaliNjoo bana
Jamani nilikuwa nahudumia ulanzi😩
Irudiweee😄😄😄 haya umepitwa tayali
Murembozzz😍 kweli hapa vijana lazima wadate😜hu spoke those said 😉
haya na narudia ya mwisho
vijana gani😄😄😄 na uzee wote huuMurembozzz kweli hapa vijana lazima wadate😜
😅😅😅ShesRise_1 kumbe na wew upo😄😄 toka kwenye hicho kichaka
Wazee tumetulia zetu hapa hatuongei sana!😎vijana gani😄😄😄 na uzee wote huu
zinafaa ila ukitupia yako itapendeza zaidi👌😊View attachment 3617576
Za porini porini kama hizi zitafaa?
mi pia hamja niacha mbali,, haya naomba nikuone mzee mwenzagu😎Wazee tumetulia zetu hapa hatuongei sana!😎
Tena ndio nafuta nyooh!🏃🏽♀️🏃🏽♀️mi pia hamja niacha mbali,, haya naomba nikuone mzee mwenzagu😎
nimeiona mywangu 😊 sema napendaga jicho lako munooooTena ndio nafuta nyooh!🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Pumzi yake nani tena jomoni🤣pumzi yake flodido auweeeee Mungu fundi nyie👌😍,,,
hizo nywele gen zee wanaita rafu dredi🤣🤣🤣
Umefurahia kuona navyokoka kuni sio😎nimeiona mywangu 😊 sema napendaga jicho lako munoooo
siwezi kumtaja😊🤭Pumzi yake nani tena jomoni🤣
Hizi zilikuwa twist zimegeuka rough ila kuna mtu mvivu kama mimi jamani🥹
kuna watu wataamini unakoka kuni kweli,, mtu unakaa mtaa wa kitajiri hivi hata mkaa mnaujua kweli 🤔😩😁😁Umefurahia kuona navyokoka kuni sio😎
Dahh sijapenda! Yani pumzi yake nipo hapa na humtaji🥹siwezi kumtaja😊🤭
Nilikuwa nazichokonoa yani nikazikate tu sitaweza hizi mambo😒kheee hizo twist zimegeukaj mpka kusimama au umezifumua🤣🤣,,,