byorefoo onyinye 😚😅😅Byorefoo😍
Si ndio😍byorefoo onyinye 😚😅😅
haya kujia shawa gel leo nimedevelop nimehama kwenye kazi nzito nzito uweeeh mwili upumzike😅😅Si ndio😍
weiiii huyu kaka 😅😅😅 sikuwahi kujua kama unaongezaga chumvi kiasi hiki aseee,, mimi ni shamba gal huko daslam napaonaga kwenye TV tuKumbe win-one ni boss mkubwa hapo dasalama! Inabidi niwe nakuzingatia sana, maana nimeona na harrier anaconda imepaki pembeni hapo.
Wee tangu lini? Nikimaliza hii takuja kukuungisha!haya kujia shawa gel leo nimedevelop nimehama kwenye kazi nzito nzito uweeeh mwili upumzike😅😅
Tutakuchangia.naskia kelele tu ila kuselfika aaah😏😏 nikiwapa location mtakuja kunichangia shower gel?
Sawa 😅Tuna kikao leo Senegal anacheza 😃kuna muda utanikosa ukiniita
mambo niyapendayo haya 💃💃 nitakupa na nyongeza ya panado kama pole kwa kutembea😂😂Wee tangu lini? Nikimaliza hii takuja kukuungisha!
Afadhali ntakuwa naitumia nikiamka na hangover🫠mambo niyapendayo haya 💃💃 nitakupa na nyongeza ya panado kama pole kwa kutembea😂😂
nitafurahi babu, ninazo ambazo zitakufaa kwa umri wako hazileti reaction yyte kwa wazeeTutakuchangia.
Unazo zipi?nitafurahi babu, ninazo ambazo zitakufaa kwa umri wako hazileti reaction yyte kwa wazee
Epuka kumeza meza madawa.Afadhali ntakuwa naitumia nikiamka na hangover🫠
Shower gel gani ni nzuri kwa mtoto wa kike win-one yaani na una macho mazuri yakimahaba sana. Na ngozi ni zile za kikorea.weiiii huyu kaka 😅😅😅 sikuwahi kujua kama unaongezaga chumvi kiasi hiki aseee,, mimi ni shamba gal huko daslam napaonaga kwenye TV tu
Kwanini mkuu?Epuka kumeza meza madawa.
ninayo pia 😇Unazo zipi?
Mie natumia hugva.
Uomeona?Pita bana nikuone☺️
Sioni kitu@s
Uomeona?