ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,869
- 39,939
Eimeeeeeeeeee 😅Mie sina jeuri ya kufanya miujiza, ila ktika jina lake inawezekana
Amen??
Eimeeeeeeeeee 😅Mie sina jeuri ya kufanya miujiza, ila ktika jina lake inawezekana
Amen??
Imani yako itakuponya binti🥰🤣Eimeeeeeeeeee 😅
TawileeImani yako itakuponya binti🥰🤣
Madhabahuni hakuna tawile. Hayo ni mambo ya kilingeni.Tawilee
Amen baba mtumishi 🤪Madhabahuni hakuna tawile. Hayo ni mambo ya kilingeni.
🤣😂Amen baba mtumishi 🤪
Weka sasampa kijana acha kutia huruma mbona ya ku bet unayo😅😅ShesRise_1 leo senegal anacheza nibless basi kabla sijaenda kubeti.
Shusha vitu hivo, hayo mengine unajua wapi pakudondosha namba murembo mwenye shepu lake.Weka sasampa kijana acha kutia huruma mbona ya ku bet unayo😅😅
Chap niselfike👊
Nimekushindwa aisee! 🙌🏾Nitapita ndio kwanza nipo bia ya kwanza
Safi ndio maana nakupendaga , unajua kunihamasishaNimekushindwa aisee! 🙌🏾View attachment 3609163
We drink to die ba mnyang’ode wangu🥰🤗Safi ndio maana nakupendaga , unajua kunihamasisha
Acha basi 😅😅Shusha vitu hivo, hayo mengine unajua wapi pakudondosha namba murembo mwenye shepu lake.
Kula vitu ,pombe ni mbaya mno tuinywe iishe ili kizazi kijacho kisiikuteWe drink to die ba mnyang’ode wangu🥰🤗
Angalia namna unibless ShesRise_1 maua siumesema nipelekee nyuki, sasampa lazima nikuwekee.Acha basi 😅😅
Hujanishawishi baadoAngalia namna unibless ShesRise_1 maua siumesema nipelekee nyuki, sasampa lazima nikuwekee.