Bwana weeh πΉπΉππππ supa tolu.
Leo, sijui hata nimefikaje huku, ila ni kutam sana kumbeπWewe jamaa selfika umeanza kushinda lini? πΉ
Umepitwa uduguu wetu wa moto bhana..!!Ko nimepitwaa shape ikiwa ndani ya Abaya?
Aaaah jamaniii!!
Haya tupia pic basi tuone ulivyo muhansamu πLeo, sijui hata nimefikaje huku, ila ni kutam sana kumbeπ
Hivi BL yuko wapi siku hizi kitambo aiseee..! πΉKwenye shape humu shoouz angu anazidiwa na BL tuu.
Wengine wote kawafunikaaa, shape km Masogangee.
π₯π₯π₯
MC hakikisha shem anatajwa kila muda maana katuheshimisha kina maaunt wa kijacho..!! πΉπΉMC niko hapa siku ya 40 ya mtoto, shughuri tunayo na tunatamba nayo.
πππ
πΉπΉπΉ Wewe muhansamu bhana..!!Nasikitika kusema, we utachomwa na gesi kwa kuongeza chumvi na kuongea unafiki π€£
Leo unakataa? πΉπΉSio kweli
Kwendraa I don't wanna be a prey to mishangazi.Haya tupia pic basi tuone ulivyo muhansamu π
Sema kweli? πΉKuna wa kuniteka?π
πΉπΉ Acha uoga wewe mishangazi ndo yenyewe..!!Kwendraa I don't wanna be a prey to mishangazi.
Sasa kwanini kwa wengine inakuwa hivyo?Mbona wamasai wanadunda tu.Ila mimi niliambiwa nyama ,mipombe,karanga mbichi,michainizi nikae nayo mbali.Ila Kuna watu wanakula minyama na kunywa mipombe hata hawaumwi.Matabibu ndio wanamjua Aisee .
Nitafanya hivyo, ila sio sasa wala Leo. Itakuwa surprise na nitakutagg kbsπΉπΉ Acha uoga wewe mishangazi ndo yenyewe..!!
Weka pic tukuone isije kuwa upo km anko Hamis ukajifanya Gen Z πΉπΉ
Acha ukorofi. Tuchat na pichaπππ Tonnia wangu huyo rangi inashout yenyewe bila filter wala snap..!!
Uduguu wangu mkaree sana hukutakiwa kuishi bongo wewe Dubai kwa waarabu wenzio..!! π»
Pole kwa kuwa mzuri, shape 10/10
Rangi 10/10
Shepu sasa huhitaji kujibinua wala kusimamisha mguu upande kitu kinafoka chenyewe..!! π₯π₯π₯
Mamaaeh kuna watu mmeshusha bhana..!!
Kama Malkia wa Sheba vile π
Humu tuselfike tu, tukiwa na shida tutatafutanaLeo unakataa? πΉπΉ
PoaNitafanya hivyo, ila sio sasa wala Leo. Itakuwa surprise na nitakutagg kbs
πΉπΉπΉ Mi nasema ukweli bila konakona Mungu aliumba mama akazaa..!!Acha ukorofi. Tuchat na picha