win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 8,804
- 29,843
mi niko poa mnooKwema mkuu,
Vipi wewe
mi niko poa mnooKwema mkuu,
Vipi wewe
Ooh nafurahi kusikia hivo.mi niko poa mnoo
mi pia familia yangu,,,Ooh nafurahi kusikia hivo.
Uwe na usiku mwema aty na pole kwa uchovu wa siku nzima,mi pia familia yangu,,,
haya usiku mwema ngoj nipumzishe fuvu maan siku yangu ilikua ndefuuu yenye kuchosha
asanteeUwe na usiku mwema aty na pole kwa uchovu wa siku nzima,
Usisahau kuniamsha 😂🤠😂🤠
Baaasiiiiasantee
usiku mwema piaa tukutane ndotoni 😂😂,,, usijali nitafanya hivyo
byee👋




Nimesahau.. naona nina kumbukizi hapa nitakuwekeaIle uliyoweka ukafuta chap
Ulikuwa unaimba nyimbo ya konde bhana..!!Nimesahau.. naona nina kumbukizi hapa nitakuwekea
Kama kimodo kimodo nipasie, mambo yangu hayooooooo😋💦😍Kwani ukinipa kuna shida gani maka 😹
Ngoja nikupe story sasa..
X nilifungua parody nikajipa jina flani very unique. Sasa tukawa tunajibizana sana issue za politics Kumbe kuna mdada akajua mi mwanaume akaanza shobo mara arepost tweet zangu, likes nyingi..
Ikabidi nichungulie page yake nikakuta yupo vizuri ila mashauzi mengi. Nikaanza ku like na kumsifia..!!
Eeh..!! Kumbe kimefall bhana 😹
Basi nakuta tag kwenye zile nyuzi za watu wanaovutiwa nao X na wanaume kule wananijaza “Oyaa mwanetu maliza pisi imekuelewa” Mi nakufa kucheka 😹
Sasa kuna siku kazama dm anajichekesha basi nikatafuta desa langu la mtongozo kuna jamaa mmoja alikuwa ananiimbisha nikatambaa nalo. 😹
Mdada anachekelea balaa, kila akinitengenezea mazingira ya kunipa namba nachomoa..!! (Najua alichokuwa anataka) Sa mi mkia nautoa wapi jamani..!!
Nikapotea kama mwezi kurudi nakuta dm nyingi za malalamiko kwanini simzingatii..!! 😹
Kuna siku akanitumia pics zake ana night dress na kibikini kinaoenkana 😻😹😹
Nikamkumbuka hapa angekuwa shost yangu Dr. Mariposa asingechelewesha angempiga finger kwa muonekano ule..!!
Sasa bhana nilivyomsifia ikawa fungulia mbwa mpk mpodido natumiwa 😹
InshaallahUlikuwa unaimba nyimbo ya konde bhana..!!
Naanza kucomment ukaifuta..!!
Niwekee kesho 😻
😁😁😁,kliniki tena😁Sawa dr nikianza clinic nitakutafuta
Loooh😁Ndonga imegangamala, inahitaji tiba.
uliamka?Baaasiiii![]()
Mapema sanauliamka?
Niaje apo.uliamka?
Ndio😁😁😁,kliniki tena😁
safi kabisaa sijui wew hukoNiaje apo.
Apa kwema atysafi kabisaa sijui wew huko