πππ
Uliona kumbe πΉYooo ni mda gani huo
But kuna time nilikuepo ila kama invisible
Lzm niwadolishie ye ndo kanipeleka , kachagua rangi ...upoo??ππ₯°ππππππ Nails
Ko wog unatudolishia yatima wa mapenzi? πΉ
Huyo shem mwambie aje atupe hi mashem zake huku..!!
Na nyie warembo tupu humu mpoπππ mahansamu tupu humu wamejaa..!!
bahati mbaya sana twitter na telegram situmii sababu ya Vpn, kimeniramba tayari π¬πΉπΉπΉ Nipe handle yako ili nikakupe assist
Zinagonga sana besela.. shida huniamini π€£πMzee wa kuchezeshaπ€£
Kina Figo wa kushato soon tutasikia milio ni suala la muda πΉπΉπΉKwa kweli maingizo mapyaa, umeona eeeh.
Kina Figo hawakosekani humu, sasa wenye tamaa waingie 18 kiwalambe.
πππ
Time hiyo hakukua na mambo mengi wala so nimepitwaUliona kumbe πΉ
ππππX nna hekaheka nna demu wangu ujue afu ananielewa kweli tatizo kifanyio sina..!! πΉπΉ
Siku akijua atajicheka, natamani kumpa assist cazee wangu tatizo niliwahi kumtukana kupitia parody langu na hajui km mimi.!! πΉ
Lazima zipigwe akinijua πΉ
Tukomesheeeπ€£Lzm niwadolishie ye ndo kanipeleka , kachagua rangi ...upoo??ππ₯°ππππ
Kupendwa raha...
Mie sitaki, ko ni Vipusa na vinjunga.Ni mwendo wa kaptula ss hivi πΉ
πππ
Sichoki wala sikomi πΉπΉHuchokiiii? Hukomiii? πππ
Nifanye nikuamini heshamu wa Jeyihefu π€Zinagonga sana besela.. shida huniamini π€£π
Mkono na hiyo watch inajieleza wewe ni muhansamu πMkono tu jamani
Mzee wa dead balls, loose balls zote zakoNipigie assist shangazi achana na makaveli10 sio mtu wa mipira iliyokufa π
Haya nifanyaje fanyaje?Nifanye nikuamini heshamu wa Jeyihefu π€
Loose balls nyepesi kufunga mkuu yanini kukimbizana πMzee wa dead balls, loose balls zote zako