Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,414
- 95,884
Anadekanoo bwana usifanye hivyo,, sisi wote tutapita hebu irudie kwanza
Kwani Kuna wadekezaji humu?πAnadeka
ewaaaa haya ndo mambo sasa una mwili mzuri na inaonekana wew ni ka cute sana π₯π₯
Niko hapa πnimekubless my King
Castle_Lite vitu vyako kabisa ivi π₯
Bado hujatupia,tunasubiriNiko hapa π
sijawai kukubahatisha hata maramoja, ila saivi watu wamejaa jaa, tuje basi baadae kwaajili ya hilonishatupia weeeee mpka nimekua used kwenye macho ya wana selfkaπ€£π€£
Unaniruhus ni like na ku I quote hiyo pic,πewaaaa haya ndo mambo sasa una mwili mzuri na inaonekana wew ni ka cute sana π₯π₯
apo ndo napokupendea maringo huna π nasubiri kapicha kako tu apa nikalewe sehem nyingine huna baya π₯Niko hapa π
Acha ubinafsi, hata sisi wengine tunataka kumuona!sijawai kukubahatisha hata maramoja, ila saivi watu wamejaa jaa, tuje basi baadae kwaajili ya hilo
HahahahaAcha ubinafsi, hata sisi wengine tunataka kumuona!
Akiselfika mwenyewe win-one namtumia yangu PM π
Itoshe kusema sina bahati, mara mbili zote kapa
imagine unamwambia mwanamke, Baadae tuonane, lakini mimi nitakuja na marafiki zangu kama 10... ataogopaAcha ubinafsi, hata sisi wengine tunataka kumuona!
ππππ ila uduguu jamanii, ko ufalme wa mahansamu ni wako, ko waje kwa wingi??πππ
Wewe mkaka una balaa π₯π₯
Libarikiwe tumbo lililokuzaa, huyo mama bila shaka mrembo sana..!!
Aaaahhh vitu zangu hizi kabisaa..!!
Muhansham karibu sana Dar nikusubiri Airport au Mbezi? Mkaka km wewe hutakiwi kufika Dar bila kupokelewa mabegi yako..!! π»π»
Shetani em nihurumie basi.!!
Fine wine π
Tayari nimetuma au haijafika?apo ndo napokupendea maringo huna π nasubiri kapicha kako tu apa nikalewe sehem nyingine huna baya π₯
Tayari jamaniBado hujatupia,tunasubiri