siku moja moja huwa natumia "hii kitu".
since leo ni ijumaa na ni mwanzo wa weekend, asubuhi kabla sijapata breakfast nikasogea kijiwe flani jirani na ofisini kwangu kupata puff kadhaa.
honestly speaking siku yangu imeenda vizuri sana leo hapa ofisini, i have accomplished my duties ontime per the work schedule.
NB: anayeonekana kwenye GIF sio mimi, nime download kwenye page fulani hivi ya kijamaica kule instagram.
View attachment 1291064
Sent using
Jamii Forums mobile app