Selfika na JF: Snap it. Show it

Achana na hizo pigo shem au umewaka na wewe? umeanza lini hizi mamboz lakini..πŸ˜…
Samahan shem.
Relax. Imeisha hii kwa upande wangu. Nafuata maelekezo yako.😊😊😊😊
 
Awky..

Enjoy shem!

Au Kama unapita huu mtaa niambie nisiondoke 😊😊😊😊.

Ila Selfika ni kama enzi zile za kukaa chobingo au Mingo kusubiria fame wapite upige miruzi na kuwasifia.
Au unasemaje ndugu zangu Ambition plus MFALME WETU

Maana umechoma maindi masaa mawili na kapita fame mmoja na kajitanda 😊😊😊😊

Seran haya hii ya mwisho sitii neno tena 🀐🀐🀐🀐
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…