Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 7,015
- 13,351
Sure, unakuta unakijikazi cha dakika 5, ukienda ukirudi unaambulia unyoya, na ukisubiri hata dk 20 hamna kitu wanaweka.Selfie tu tunasubirishana mwaka mzima wengine wanafuta baada ya sekunde mbili π mweeh
acha niendelee tu kulewa
Win umetuzinguanarudi
π€£ππKwani ukinipa kuna shida gani maka πΉ
Ngoja nikupe story sasa..
X nilifungua parody nikajipa jina flani very unique. Sasa tukawa tunajibizana sana issue za politics Kumbe kuna mdada akajua mi mwanaume akaanza shobo mara arepost tweet zangu, likes nyingi..
Ikabidi nichungulie page yake nikakuta yupo vizuri ila mashauzi mengi. Nikaanza ku like na kumsifia..!!
Eeh..!! Kumbe kimefall bhana πΉ
Basi nakuta tag kwenye zile nyuzi za watu wanaovutiwa nao X na wanaume kule wananijaza βOyaa mwanetu maliza pisi imekuelewaβ Mi nakufa kucheka πΉ
Sasa kuna siku kazama dm anajichekesha basi nikatafuta desa langu la mtongozo kuna jamaa mmoja alikuwa ananiimbisha nikatambaa nalo. πΉ
Mdada anachekelea balaa, kila akinitengenezea mazingira ya kunipa namba nachomoa..!! (Najua alichokuwa anataka) Sa mi mkia nautoa wapi jamani..!!
Nikapotea kama mwezi kurudi nakuta dm nyingi za malalamiko kwanini simzingatii..!! πΉ
Kuna siku akanitumia pics zake ana night dress na kibikini kinaoenkana π»πΉπΉ
Nikamkumbuka hapa angekuwa shost yangu Dr. Mariposa asingechelewesha angempiga finger kwa muonekano ule..!!
Sasa bhana nilivyomsifia ikawa fungulia mbwa mpk mpodido natumiwa πΉ
Mjukuu kama mjukuu... hapa mie mjukuu ninae ππnarudi
Hii iende kwenye ule uzi wetu wa madikodiko
Karibu sana, nipo kwa waha huku, naila migebuka..Hiyo migebuka π
Maka mwambie bi mkubwa nakuja kula..!!
kwanini?Win umetuzingua
Sure, unakuta unakijikazi cha dakika 5, ukienda ukirudi unaambulia unyoya, na ukisubiri hata dk 20 hamna kitu wanaweka.
Hadi raha
mnataka za naked wanetu? πππAlaf hapo mtu bado usoni kaweka emoj kubwa kama tumbo la Kobisi. Alaf sekunde 2 tu anafuta.
Daah! Ni masikitiko πππππ
shem una nini lakini πwin-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.
Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule ππππ
Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran ππππ
Eeh mnataka muanzishe ishu ya vidotiπwin-one pokea maua yako kwasababu umeacha picha muda mrefu na it Seem ww ni mwanamke huna heka heka. Kwa jinsi ulivyojisitiri.
Ila hebu fanya kama Tayana-wog anavyotoaga maelekezo. Iga mfano ule ππππ
Au ficha macho tu . Mbona wenzako wanaonyeshega mpaka vidoti Seran ππππ
Tumeona gauni zuri,kwanini?
Bana eeeh. Waja hawaridhiki hadi waone vidoti. Daaah!Eeh mnataka muanzishe ishu ya vidotiπ
Hata kama sio full naked, acha basi hata kamdomo, ama kajicho,mnataka za naked wanetu? πππ
Hapa ni fake zone fanya kuniletea receipt tu mimi ntaamua upi ni ukweli..Ila Nikisema nakutumia whatsapp.
sijui ataamini kuwa picha yake nimedownload au namba yako ninayo?.
Ila kimoja hapo cha uwongo. Ataamua yeye achague uwongo upi. πππππ
Hii mada wacha kabisa,Eeh mnataka muanzishe ishu ya vidotiπ