Selfika na JF: Snap it. Show it

Kumbe huyu bi dada yupo hot. Ngoja nisubirie tabasamu lake atakalo nionyesha hapo baadae kidogo😀
Huyo mtoto ni mkaree ana rangi ya mtume inawaka mpk kwenye wallet yako..!!

Ukiwa naye pesa huhitaji kuumiza kichwa.
Huyo mtoto Engineer anasanifu majengo mpk maisha yako oohh..!!
 
Huyo mtoto ni mkaree ana rangi ya mtume inawaka mpk kwenye wallet yako..!!

Ukiwa naye pesa huhitaji kuumiza kichwa.
Huyo mtoto Engineer anasanifu majengo mpk maisha yako oohh..!!
Sitaamini mpaka pale nitakapo muona . Ngoja nisubirie atume😀
 
Mashallah Mashallah πŸ₯°
Jamani wakaka wazuri wote waje kwangu maana ufalme wa Lamomy ni wao 😹😹

Weka gentleman πŸ”₯πŸ”₯
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huogopiii?
 
Mimi nilishapita ka majuzi hivi. Na nimeahidi kupita Tena safari hii ni live😀. Wewe sikuwahi hata kukuona. Tuma Leo kwa ajili yangu ukiwa live...
Mbona mie sijawahi kukuonaa hataaa?
Weka kwa ajiri yangu basi,
🍻
 
Huyo mtoto ni mkaree ana rangi ya mtume inawaka mpk kwenye wallet yako..!!

Ukiwa naye pesa huhitaji kuumiza kichwa.
Huyo mtoto Engineer anasanifu majengo mpk maisha yako oohh..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ najua kusanifu Urungu tuu, hata Ngariba hanikutiii.
Uduguu ntakubondaa sahivii, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…