Selfika na JF: Snap it. Show it

Hv kati ya picha zote ulizopost humu, ww n yupi kati yao?
Pole sana wewe unaona mimi yupi?
Unajitahidi mwenyewe kujitetea..!!

Sasa wewe si ndo unionyeshe hapo mimi yupi? 😹😹😹 yani serious kabisa unateseka na pic? Em kaza basi unaaibisha wanaume wenzio..!!
 
Hapana ntakutumia pm ili uzitume humu mana Naskia unajua sana kuwapeleka watu mjini, na mm nataka kwenda mjini daslamu
Kumbe unataka kupelekwa mjini? 😹😹
Em tupia hapa nikusifie uende mjini
 
Natumia product za Olay kuanzia lotion mpaka shower gel
Duh hongera , ziivyo bei ss

Mi mpk ss ht sielewi nitumie nn, mi napakq chochote nashukuru Mungu ngozi yangu haina shida pia maana heka hela za sikin care siziwezi
 
Asante
Bt im still wondering , shida nn mpk mtu uhangaike kutaka kujua picha za watu kiundani?🤔
Km mie nina insta, tiktok, fb huko kote utakuta pic na video zangu kibao mtu akitaka akanione ndo maana huwa najionea ujinga tu mtu kuhangaika kutumia hizo apps ili awaone watu...

Mi sina cha kupoteza 😁
 
Raha ya tako liendane na mwili buanaaa 😹😹
Haya post traco lako tuone nyoko weeh
Unashinda kufanya diet upate mwili km huu na huupati ng’oo pawa mabula 🤣😹😹
Nasikia tu Pawa Mabula, Pawa Mabula. Pawa Mabula ni nani kwenye uzi huu? Na hicho cheo alikipataje? Ni compliment kwa maana ya kwamba ana maguvu sana au ni diss kumaanisha kuwa ni kibonge kupitiliza? Why?

Uzi huu aliyeuanzisha inasemekana alikuwa anajihusisha na mambo ya nguvu za giza. Pengine una laana ndiyo maana huwa haupoi yaani hauwezi kupita mwezi bila hekaheka dah! Hata ambao bado mnauza sura na kuanika vitako vyenu humu mna mioyo aisee!



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…