ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,203
Humu leo humu woiiiiiiiiiiiiππMnaoselfika kuweni makini humu, picha zenu zinareflect taarifa muhim. Unaposelfika hakikisha background ni white na black hii inaficha location. Msiweke picha zilizo na picha za mijengo au mazingira. Weka filter kidogo you now at safe hand.
VView attachment 3603488
Inavutia kweliMwenyewe napenda nikimuona mtu anazoπ₯
Natumia product za Olay kuanzia lotion mpaka shower gelUnapaka sikinikea gani
π€£π€£Wacha nisepe,mazingira si rafikiππΏββοΈππΏββοΈ
Ukiona ugomvi upo serious sana kama wewe ndo chanzo ni vizuri kurekebisha ulipokosea ili maisha yaendelee.Sifa za kidoti ulizomwaga jana bwana wasenge wamepita nazo na hata hawajaona kitu! Mbongo mpe heading ndio kakusanya kamati hapo naona anawasimlia jinsi kilivyo fakeπ
Okay kiongoziMnaoselfika kuweni makini humu, picha zenu zinareflect taarifa muhim. Unaposelfika hakikisha background ni white na black hii inaficha location. Msiweke picha zilizo na picha za mijengo au mazingira. Weka filter kidogo you now at safe hand.
VView attachment 3603488
Wapo Instagram?Natumia product za Olay kuanzia lotion mpaka shower gel
Kwakweli wacha nikae pembeni nimpe shetani kombe! Sitaweza league za aina hii! Maana mtu anahisi kuibiwa bwana muda wote! Kazi kweli! Am offππ€Ukiona ugomvi upo serious sana kama wewe ndo chanzo ni vizuri kurekebisha ulipokosea ili maisha yaendelee.
Kama wewe sio chanzo basi piga kimya kumuepusha shetani mambo mengine yaendelee.
Wameanzaa kukuvagaa na kidoti na hizo Dimpooz. Ni fake Mlongo.Wacha nisepe,mazingira si rafikiππΏββοΈππΏββοΈ
Kaza, anyway najua huwezi kukaza mana kijambio hakifai Tena πππππ Relaaaaxxxx!!
Kwahy ushoga ulianzaje, hv pisi kali kama za pawa mabula hutaki kuzilomba Ila ww ukachagua kufirw@?ππππ Relaaaaxxxx!!
Vp hii mlikuwa hamuijui? Au ndo mlikariri Google lens tuu πAhsantee kwa Elimu na ujuzi huu. ππ
Sijawafatilia ila wapo kama kampuni lakini kwa wabongo sijajua..!!Wapo Instagram?
Ww nae fala tuu, c unyooke, Kila saa pawa mabula pawa mabulaπΉπΉπΉ Bado hujasema tumekuona bana weeh..!! Acha kutaka matraco ya wenzio we yako huna usiweke hayo mazuri??
Nakwambia kila siku acha kupandikiza wengine kwenye ugomvi ili kujidefence. Watu hawataki mabifu hujishangai dada pawa mabula? Post traco
Ohoooo mbona mapema sana ππSina bwana wa kuibiwa ndiomana natamba anytime, kazi kwako mara sijui crush wako nyoko nyoko mara nyokole hujiamini? πΉπΉ
πππ mpare em kubali basi kuwa ile ya gugo lenzi watu wanaijua humu ndanii,. Maana bado km unaumia vile. Poleeee.Vp hii mlikuwa hamuijui? Au ndo mlikariri Google lens tuu π
Haya asanteSijawafatilia ila wapo kama kampuni lakini kwa wabongo sijajua..!!
Labda mlimani city unaweza kubahatisha shida kuyapata genuine..!!