Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikajua humu wote matajiri buana, ebo🀭
Utajiri wangu upo kwenye mashine yangu 😎
Ila mfukoni n hoe hae

Afu Kwann uniunge kwenye group la kazi afu bado cjapata kazi? Sasa umuhimu wa kuwa na group n upi sasa?
C unaona mpaka nasemwa na umma πŸ˜‚
 
Utajiri wangu upo kwenye mashine yangu 😎
Ila mfukoni n hoe hae

Afu Kwann uniunge kwenye group la kazi afu bado cjapata kazi? Sasa umuhimu wa kuwa na group n upi sasa?
C unaona mpaka nasemwa na umma πŸ˜‚
Heee sijasoma vyote, maana nimeona kuna kei za kiume zinachangia usenge usenge tu nikahis kichefuchefu! nna hangover yangu hapa inaniendesha sio poa! Kwamba tuna group la kazi na hujui? Kwanini sasa🀣
 
Heee sijasoma vyote, maana nimeona kuna kei za kiume zinachangia usenge usenge tu nikahis kichefuchefu! nna hangover yangu hapa inaniendesha sio poa! Kwamba tuna group la kazi na hujui? Kwanini sasa🀣
Nanyanyaswa kisa ww πŸ˜‚
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Acha tu yaani ni kasheshe lecture anafundisha wa kausha damu wanakutumis sms ya vitisho πŸ˜‚
 
Wewe koma nilikuanzishia wapi?
Baada ya kupost selfika pic lako si ndo ukaja pm kuniambia power mabula malayaa anajifanya anakujua kumbe Hakujui na akileta ungese unamchana nikakujibu nini??

Ukanipa na screenshot hizo.
Nikakwambia achana nao wapuuzi tu hao.

Kwahiyo wewe ulitaka tuselfike km power mabula anaweka kidoti cha wanja aonekane pisi kali 😹😹😹

Mtu ambaye hata kuvaa changamoto watu tukiselfika full haamini anahisi sio sisi kwani anaishi na vitu gani huko??

Wewe na yeye wote mkome hivyo ndo nilivyo mumlaumu mama yangu kwa kunizaa.. 😹😹😹
 
Astghafirullah lazimuuuuu
 
Afu ukiniandika jina hakikisha umenitag nione kwa urahisi, sio tena nipate shida kufuatilia story ilipoanzia
Nikutag km nani si umesoma sababu hayo ndio mambo yako uyapendayo..!! 😹😹😹

Tuna kikoba tunakaa mwisho wa mwezi karibu tukuunge..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…