Selfika na JF: Snap it. Show it

Labella ndo mimi, na hizo shengesha zote zimeanzia juzi. Ila jana sasa ndio presha zikawapanda ndio km hivi..!!

Jogoo huyo kwiyooo 😹😹😹
nimeshindwa kuunga dot wakati wote.
Nimekuvulia kofia
 
NYC bwoii, punguza mahaba kwa Uduguu, Waja wanajua trip ya kwa maandishi 3 ni kugusa tuu,
Kumbe wala hata, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
We nawe Ntakuchapa 😹😹
Hapo huyo Ambition sijamfungulia pm sa ningefungua ingekuwaje? 😹😹😹

Kwa Kantry nimepigwa mawe mpk wengine wanamtag kwenye nyuzi wajitongozeshe na uzuri wa mweusi akili 2 akawachana β€œNitamtooo mpaka akome” wakaona aibu mi nikapita nacheka zangu..!! 😹😹😹

Nyie wapuuzi mniletee vizee vyenu basi niwe mama yenu mdogo, ili nyie muwabebe hawa wanaume ninaotaniana nao..!!
 
Na ndimu kabisaa, km sio chachanduu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mjomba ako kaninunia kalipa ada juz juz alaf mtihani nimepata 5 sasa km akili hazitaki mm nifanyaje jamani anasema anaonea huruma wanaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umechelewa kumsoma labda, yuko hivyo siku zote.
Ndio maana siku naona picha yake nilimchana, hufanani na mambo yako, aka react, ya humu ni ya humu, nilimuelewa pia.
Basi wana kazi nzito km ni hivyo 😹😹
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ uduguuu, em lala kwanii.
 
Mjomba ako kaninunia kalipa ada juz juz alaf mtihani nimepata 5 sasa km akili hazitaki mm nifanyaje jamani anasema anaonea huruma wanaeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimechekaa shangazii. Unasoma nini na uzee wote huo?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimechekaa shangazii. Unasoma nini na uzee wote huo?
Wee acha aunt
Mambo ya kulazimishana kusoma na uzee nimepata hesabu 5 aunt nasikilizia masimango tu hapa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…