Selfika na JF: Snap it. Show it

😹😹😹 le mutuz
Yani hata km hutaki kugombana unalazimishwa..!!

Hatuondoki labda Max afunge JF
 
Tunalisha ndondocha nyama, unga hawataki siku hizii.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ misukule ya miaka hii imechangamka sana.
Watu wadhazoea mishikaki ya miambili mbili na vipweza vya mia mia sahiz muwalishe unga wee kuweza wapeni supu wapeni hata supu ya mapupu πŸ˜€
 
Aniombee kipindi Azam nikawachambe 😹😹

Mbaga nilikuwa namuheshimu ujue nilimchukulia km mshkaji kaniumiza sana kujihusisha na mambo ya kike..!!

Kwa alivyojiweka humu na mambo ya kike Hata hayampendezi..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umechelewa kumsoma labda, yuko hivyo siku zote.
Ndio maana siku naona picha yake nilimchana, hufanani na mambo yako, aka react, ya humu ni ya humu, nilimuelewa pia.
 
Na mimi nimo?
Mtanionea tu. Labella ni rafiki tu kama wewe Lamomy ila akinipa sikatai, nawika fresh tu😁

Weka picha wafwe kabisaa
Labella ndo mimi, na hizo shengesha zote zimeanzia juzi. Ila jana sasa ndio presha zikawapanda ndio km hivi..!!

Jogoo huyo kwiyooo 😹😹😹
 
Watu wadhazoea mishikaki ya miambili mbili na vipweza vya mia mia sahiz muwalishe unga wee kuweza wapeni supu wapeni hata supu ya mapupu πŸ˜€
Shangazii leo mjomba kakupa nini? Sijakuzoea hivii? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Labella ndo mimi, na hizo shengesha zote zimeanzia juzi. Ila jana sasa ndio presha zikawapanda ndio km hivi..!!

Jogoo huyo kwiyooo 😹😹😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mbona kwiooo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…