Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangaa na wewe tena mimi kaniletea na risiti kabisa nikampoza kimtindo wewe wapotezee..!! Yeye akalalamika power mabula kamwambia remmy ongala atampa pic zake anazo mimi namsifia simjui Mbaga sio huyo..!! Nikamuuliza uliwahi kumtumia pic zako? Akakataa..!!

Sasa mimi habari zao za ajira portal zinanihusu nini km walibebana mpk WhatsApp huko? 😹😹

Kumbe wanajuana sasa si wamalizane wenyewe..!!

Mbaga aliniforce kweli nimpe pic yangu nikagoma. Akaamua yeye anipe yake hata hivyo sikuwa na shida nayo coz sijamuomba..!!

Kumbe yupo Azam? Ujue mimi hata sijafatilia zile pic zaidi ya kumsifia tu..!! 😹😹

Aniombee kipindi Azam cha kuchamba niwachachue wana Dar 😹😹
 
Picha gani si hiyo yuko kwenye Ofisi za Azam Media Ltd, hadi mwafula kasema ataanza kumuogopa, sijui wanamchota nani hasa, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mie najionea mauza uza tuu, aaaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aniombee kipindi Azam nikawachambe 😹😹

Mbaga nilikuwa namuheshimu ujue nilimchukulia km mshkaji kaniumiza sana kujihusisha na mambo ya kike..!!

Kwa alivyojiweka humu na mambo ya kike Hata hayampendezi..!!
 
Na yule mwingine Papa mobimba, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndio anajifanya ndumi la kuwili,.

Ko kumbe uzi ulitembea kuhusu Suala la gugo lenzi? kumbe watu humu ni wapyaa eeeh??
Watuache makontawa wenye uzi wetu, tuko nao sako kwa bakoo, walitukuta na watatuacha..
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😹😹😹 Halafu huu uzi una watu wa ajabu sana..!!
Hiyo mwembe radu ufanye next weekend twende uduguu..
 
😹😹😹 Halafu huu uzi una watu wa ajabu sana..!!
Hiyo mwembe radu ufanye next weekend twende uduguu..
Twende nikupeleke hadi Tuamoyo huko, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ushindwee wewee tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…