Selfika na JF: Snap it. Show it

My friend kama tabia ni njema na ni mchapa kazi, maswala ya chakula ni kawaida, nunua chakula cha kutosha, atazoea tu, atakula atasaza..
Ila kama budget inabada inabidi uendelee na mchakato wa kusaili wadada wengine.
Chakula sio inshu,
Uvivu, uchafu, umbea na unafiki, uwongo, umalaya n.k
 
Mwambie haupendi hiyo tabia kwanza ni mbaya! Analiaje jikoni? Kwani mkiweka chakula mezani hali au.. mwambie ukweli anakuona unakaa kimya ndio maana hawazi hata kutenga vipande vyake vitau pembeni!

Mimi mdada wangu hawezi hizo tabia kwanza hana, kwahiyo si kawaida!
 
Kwa yale yaliyomo niliyoyaona, bila ng'ombe 100 haturuhusu wakuchukue mjukuu

Na ndiyo maana wale Vijana wa nyumba za jirani walikuwa hawaachi kuja kununua ice cream kumbe ilikuwa janja yao ya kuja kukuona 🀭
Sema we mzee mnafki sana basi tu🀣

Ng’ombe 100 ni kwa wantuzu tu huko leo dada anaelewa!
 
Tutakutibu mzee tulia
Awamu hii, Kweli nimepatikana babu yenu πŸ€—

Kwahiyo mkija wengi kwa pamoja ndiyo mnasaidiana yale majukumu?

Huyu anamwimbia babu na maiki, mwingine anampitisha vidole vyake laini kwenye kidevu

Kwa mwendo huo, sijui kama sitawapatia password ya akaunti yangu yenye pensheni πŸ€ͺπŸƒπŸƒ
 
Tutakuja wengi kila mtu ashike kiungo chake babu yetu aweze kurelax kabisaπŸ˜‚
 
Tutakuja wengi kila mtu ashike kiungo chake babu yetu aweze kurelax kabisaπŸ˜‚
Hahaha...........leo nina hadithi nyingi kweli za mwaka 47

Njoo nikusimulie mjukuu 🀭 πŸ€ͺ
 
Nawaza jinsi ya kumwambia mpaka sasa nimepiga kimya kama chakula kinawekwa mezani aliye karibu anajichotea sahani anajaza na yeye ndo anapiga msosi mwingi kuzidi sisi sasa sielewi shida yake ni nini
Yaani huyo haridhiki,hiyo kitu sipendi mtu anajishibia jikoni,nyie namsubiri apike kumbe mwenzenu anajishibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…